Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bendela fata upepo hamaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi baada ya kupita kwa Tabu dhidi ya Atletico hamukujiuliza maswali kuhusu uwezo wa Timu yenu UCL?

Nyinyi karibuni tu mutaamini kuwa Timu yenu sio kwamba ni bora ila kwenye EPL Munapitia upepo kama aliopitia Ferguson tu kipindi yupo Manure.


Wakubwa wamenielewa ila wadogo kama wewe hamuwezi kunielewa.
 
Mguu mmoja ndani Sadio kujibebea Ballon d'or kama atam'outshine Benz fainali.

Salah ndiye Favourite kwa Ballon D'or kuliko Mane.

Watu wataona Salah sikuhizi hafungi ila Mane ndiye anafunga but kila game Salah anakuwa States nzuri kuliko Mane kwasababu kila Game anatoka na Assist na anatengeneza nafasi nyingi za kufunga.
Na jengine ni kwamba magoli mengi ya Mane ameassist Salah.
 
Nyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie [emoji28][emoji28]

Huna lolote kaa pembeni ,huo upepo si uwachukue na nyie Sasa ,mna cheza Europa na kina villareal ,benefica mnajiona et mnaweza fala Nini [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ile ndio uefa kama hujui ....na tumetoka semi final ya uefa sio hizo janja janja za Europa league Villarreal [emoji23],Jana dunia nzima ilikuwa inamtazama ze cityzen tumetolewa kibabe sawa lakin mpira wetu unaonekana usijfanye wewe sijui unakikosi boraaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mnapita pita njia za panya mnajiona vidume ,aiseee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…