Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,855
YNWA 
I FUCKING LOVE THIS TEAM

I FUCKING LOVE THIS TEAM

Ka kiberenge kanajiandaa kuingia! Huyu dogo ni hatareee!
Ni kweli hasa kipindi cha kwanza nampenda Keita lakini nilikuwa namtukana sana ila kipindi cha pili alikuwa much better Keita tunayemjuwa ila nimsifu Klopp sana nilikuwa nategemea kipindi cha pili Keita atabaki chumbani lakini nikashangaa kuona Jotta out hii ilimpa boost Keita akaja tofauti kabisa akawa anacheza high nyuma ya wale Mid wa Villa ndio best position yake.Hapana Mzee keita leo alipotea ukiacha timu nzima first half kupotea nae Leo hakuwa mchezoni ukweli usemwe.
City mziki mwengine mi naombea tukutane na Madrid. Walichofanya Villarreal first half City wanaweza kufanya dakika 90 wanapress kali sana na energy ya kutisha japo wote tunacheza hivyo ila Madrid nyanya zaidiNadhani kipindi cha kwanza kuwa na Keita na Thiago ilikuwa shida kidogo kuwapa cover Robertson na Arnold, Hasa Keita alikuwa anafanya makosa mengi sana kuliko Thiago ila kipindi cha pili Keita alicheza vizuri sana nyuma ya defence Mid za Villa real akawa anawapa shida lakini mwisho wa siku lazima tumsifi Klopp, wakati sisi wengi hatukuona kama Jotta alikuwa shida wengi tulishani Keita na kweli Keita alikuwa hata pass zake hazifiki laki Klopp akamtoa Jotta na kuingia Diaz ikabadili game yote sababu Diaz alikuwa anawakimbiza na Keita akafufuka tena akawa anapata mipira sehemu nzuri sana. Sifa ziende kwa Klopp sababu hakumtoa Keita wala Thiago kaacha team ileile na kuwaambia kuwa sio kuwa na kipindi kibaya basi mchezaji ni mbaya badilikeni. kipindi cha pili unaona kabisa Mid ya villa imepotea kabisa Liver wakacheza kama team tunayoijuwa wangefunga hata sita. Ila hata Jotta sio kwamba mbaya hapana ni game tu haikuwa siku yake na Diaz ni style tofauti sana kina Mane, MO na Jotta kwani ana offer kitu tofauti sana ikawa mixture nyingine. Kikubwa kama angepita Villa basi final ya mwaka huu ingekuwa mbovu kuliko zote sababu hawa kufika final ingekuwa kama wamemaliza nadhani hata UEFA wamefurahi kwa hili, maana kuna guarantee best final to come iwe na City au Real, japo mimi kama Liver much kuwakuta Real city watatupa shida kwa style yao japo tutawapiga hata kwa penalty.
Pole sana mzee,Natamani sana kuwa fan wa Liverpool hii happy nimeikosa kwa muda mrefu sana since 2006 congratulations guys
Mkuu unamuogopa Man city?City mziki mwengine mi naombea tukutane na Madrid. Walichofanya Villarreal first half City wanaweza kufanya dakika 90 wanapress kali sana na energy ya kutisha japo wote tunacheza hivyo ila Madrid nyanya zaidi



, Jana tumecheza vibaya 1st half kwasababu Tulikuwa tunaongoza 2 0 na kama unavyojua tim yetu inatabia ya kuridhika hivyo basi kwa uchezaji wa 1st half wachezaji kuanzi Back, mid na Foward hawakuwa na morale kabisa kwani walikuwa wanaenda kupigania draw lakin bahati mbaya haikuwa hivyo.