kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 436
- 662
Hapana Mzee keita leo alipotea ukiacha timu nzima first half kupotea nae Leo hakuwa mchezoni ukweli usemwe.Ila wakati mwingine mashabiki tuwe na subra kwa kile makocha huwa wanafanya imagine tayari tulishaquestion uwepo wa keita
Mkuu tulishindwa kumtandika huyo city kipindi tupo ugenini, sasa kazi iliyo baki ili Ang'oke hapo juu ni Lamli tu.Sasa hivi tunachowaza kwanza ni epl jinsi gani tumtoe man city kwenye reli
Tunabeba vikombe vyote hakuna cha nini wala nini hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ndio vidume hapo uingereza,hakuna wa kutuambia lolote tunawaletea makombe ya ulaya yote.
Klopp ndio katumia udhaifu wakeUnai anasema
"Tutatumia udhaifu wa Liverpool ambao haujaonekana na mtu yeyote na tutasonga mbele".
Huyu jamaa kanywa pombe gani?
Timu nzima ilipotea kipind Cha KWANZA...keita wa 2nd half alikuwa mwingine...Hapana Mzee keita leo alipotea ukiacha timu nzima first half kupotea nae Leo hakuwa mchezoni ukweli usemwe.
Kitumbua cha VR kilipoingia mchanga
Hii issue naona inataka ilete gumzo, keita hakupotea ila ni mids nzima ilipotea first half, kwanini ilipotea kwasababu 3front yetu mwanzo ilikuwa low na ilikuwa haikabiii juu kama inavyotakiwa so mids ikawa inalemewa. Kama umeona vzr second half VR kakabiwa juu kwa pressure ya hali ya juu akapoteza confidence akapigwa bomba tatu chap.Hapana Mzee keita leo alipotea ukiacha timu nzima first half kupotea nae Leo hakuwa mchezoni ukweli usemwe.
Najua ww ni shabiki wa Chelsea, nashukuru kwa kuwa bega kwa bega na sisi, tang tulivyo pigwa goli 2 1st half mpaka tulivyo fanya comeback.
Umetabir vizur SEMA kinafiki[emoji1787][emoji1787]90+5
Villa Real 2
Liverpool FC 3
Divorck Origi [emoji460]
Mkuu uliwaza nini?Diaz I salute you[emoji120][emoji120]
Ile pressing haikuwa ya kawaida kuna saa hadi unadhani VR labda wamezidi walikimbia mnoo kiasi nguvu zote walitumia first halfHapana Mzee keita leo alipotea ukiacha timu nzima first half kupotea nae Leo hakuwa mchezoni ukweli usemwe.
Kama ulilala utaona mengiDaah cjui nilale, niamke kesho nijionee maajabu [emoji16][emoji16]
Daah,na ameona game ya leo Yaani man city anapoteza gemu kesho yeye mwenyewe akubali yaishe tu [emoji3][emoji23][emoji3][emoji23]
Hapana Mzee keita leo alipotea ukiacha timu nzima first half kupotea nae Leo hakuwa mchezoni ukweli usemwe.
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari Kaka tumepoteana wote, mpaka thiago anapiga pass mkaa hazieleweki. Sema hii midfield ya fabinho-thiago-keita watoto ambao wanapaki bus inafaa kwa kufungua block coz thiago na keita wote wanapandisha timu so tunaacha nafasi kubwa. Kingine ile role ya Henderson kucheza upande wa Arnold kwa keita inampa ugumu kidogo coz anorld anavyoingia ndani kidogo keita anaenda upande aliotoka anorld then anatia cross ambao kidogo bado hajaweza kulink vizuri. All in all we are good na tumepita japo tumeonja ladha ya UNAI EMERY #YNWA IMAGINE BEING USIle pressing haikuwa ya kawaida kuna saa hadi unadhani VR labda wamezidi walikimbia mnoo kiasi nguvu zote walitumia first half