Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakati tunacheza na Arsenal ugenini ulikuwa upande wao saiv umehamia Spurs kisa alikunyonyoa wewe? Mda utasema tu This is
Huna uwezo wa kumfunga Spurs wewe ,hii ni Spurs nyingine kabisa na Mimi Niko upande wa Spurs ....!
 
Unai anasema
"Tutatumia udhaifu wa Liverpool ambao haujaonekana na mtu yeyote na tutasonga mbele".
Huyu jamaa kanywa pombe gani?
 
Unai anasema
"Tutatumia udhaifu wa Liverpool ambao haujaonekana na mtu yeyote na tutasonga mbele".
Huyu jamaa kanywa pombe gani?
Mind games ni muhimu sana kutumika pale timu inavyotaka kusonga mbele.

Ni open game kila timu inataka kuingia fainali hivyo mbinu zitatumika nyingi hata Klopp kashasema atajitahidi kutofunguka sana kuwapa Villarreal nafasi ya kutuumiza..

Nina imani na Klopp na vijana.

Kikosi kiwe hivi

Alisson

Trent Konate VVD Robertson
Henderson Fabinho Thiago
Salah Mane Diaz

Henderson japo ni dhaifu lakini ana mbio kuliko Keita hivyo wakati Trent anashambulia upande ule anacheza Danjuma na ni mzuri kwenye kaunta inabidi awepo Henderson kuhakikisha hilo wasiwasi wangu ni kwamba Henderson hua anajisahau mno mpaka unakuta wakati mwingine ana overlap na kumpita hata Trent upande wa kulia jambo ambalo ni tofauti kabisa upande wa Thiago na Robertson nwa ngoja tuone Klopp atakuja kivipi..

4 2 3 1 kipindi cha pili itatosha kabisa kuzima ndoto za Unai.

Rekodi yetu ugenini msimu huu UCl inapendeza sana.

YNWA
 
Screenshot_20220503_164234_org.telegram.messenger_edit_159507369796493.jpg


Here we go.

YNWA
 


Tunatua jiji la Valencia tukiwa na ushindi wa goli 2 tunajua sio kazi rahisi ugenini na haijwai kua rahisi UCL kwetu lakini vijana wanaelewa vyema nini wafanaye wakati gani hivyo nina imani tunakwenda Paris fainali.

YNWA
 
Game yenu Haina mvuto ,yaani watu waache kusherekea sikukuu et waangalie Europa
Man city sihesabugi kama ni timu n wazururaji tu...
Timu ni Liverpool na Madrid full stop hiyo ndo itakua mechi Kali baada ya makapi kutoka
 
Tupo hapa tutaona nani atabeba safari hii... Prem league na uefa...mark my words...Liver juz juz tu mmefufuka mlkuw bure kabisa
Man city sihesabugi kama ni timu n wazururaji tu...
Timu ni Liverpool na Madrid full stop hiyo ndo itakua mechi Kali baada ya makapi kutoka
 
Wakuu
Mechi na iliyobaki na wale nyambizi ni kukamilisha ratiba tu
Jk tunakushukuru sana kwa kutupeleka final na hatimaye tutachukua uefa tena kama ulivyotupa mwanzo..
 
Kikosi ndio hiki... Mnasemaje wakuuu

Screenshot_20220503_204725.jpg

Subs: Kelleher, Milner, Gomez, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Jones, Minamino, Tsimikas, Diaz, Origi, Matip, Elliott.

YNWA
 
Man city sihesabugi kama ni timu n wazururaji tu...
Timu ni Liverpool na Madrid full stop hiyo ndo itakua mechi Kali baada ya makapi kutoka
hivi liverpool alikuwa anacheza uefa kweli ,najawa na wasi wasi mkubwa kabisa ....

Liverpool vs intermillan

Liverpool Vs benifica

Liverpool Vs Villarreal....

ifike hatua Hawa waache kutuchezwa akili hii ni Europa kabisa hakuna uefa ya namna hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom