TAA anawangoja wale nyambizi wa manjano, game itabidi iishe first half tupumzike tuwangoje spurs, binafsi sijakata tamaa na EPL kabisa.
Nafatilia game na leeda hapa naona Citizen anastruggle, leeds wanacheza mpira mkubwa sanaa.
Siki zote nyani halioni kundule ,unakuja kuongelea city ambaye kampiga Leeds goli 4 et ana struggle,wakati wewe Newcastle kakushika umetoka na goli moja 1 ,wewe wa goli moja hujastruggle ila aliyefunga goli 4 amestruggle


,hivi kweli unaangaliaga mpira wewe ,unajua hakuna game nyepesi ???? Au unaagalia LiveScore matokeo


,kama city ile game amestruggle je liverpool na Newcastle utasemaje ???mashabiki wote wa Liverpool wameangalia hii game wanatetemeka na kutamani mpira uishe


Bado timu yako huioni kama inaweza kupoteza kwa Spurs ambaye anataka top four ,unakuja kutafuta matumaini kwa wolves ambayo game 5 hajapata ushindi wowote ,et unataka westham ambaye jana kagongwa na arsenal ambayo haikuwa kwenye form aje amfunge city



subili tumalize uefa ndio utaiona sura halisi ya city epl

,hakuna mbwa atakatiza nakwambia ...!
Mbaya zaidi unaona wolves ni wazuri Sana wanaweza kumfunga city ila wewe hawawezi kukufunga



au hujui kama ina game na wolves? Kaangalie game na wolves round ya kwanza ulitokaje kabla hujasema city tulishinda ushindi mwembamba wa penalty na wolves round ya kwanza , mashabiki wa liverpool wanaojua mpira wametulia kabisa kuhusu hii show ,sio kwamba wameshindwa kujitokeza kusema watachukua makombe manne ila wanajua mpira ulivo ,na match ilivo

Mimi nasema hivi hakuna mbwa yeyote atakayebaki salama akikutana na city mpaka may 22 ni kusambaza kipigo cha mbwa Koko mwendo wa 3+ goal mpaka wabweke bweeeee bweeeee bweeeee





