Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siki zote nyani halioni kundule ,unakuja kuongelea city ambaye kampiga Leeds goli 4 et ana struggle,wakati wewe Newcastle kakushika umetoka na goli moja 1 ,wewe wa goli moja hujastruggle ila aliyefunga goli 4 amestruggle ,hivi kweli unaangaliaga mpira wewe ,unajua hakuna game nyepesi ???? Au unaagalia LiveScore matokeo ,kama city ile game amestruggle je liverpool na Newcastle utasemaje ???mashabiki wote wa Liverpool wameangalia hii game wanatetemeka na kutamani mpira uishe

Bado timu yako huioni kama inaweza kupoteza kwa Spurs ambaye anataka top four ,unakuja kutafuta matumaini kwa wolves ambayo game 5 hajapata ushindi wowote ,et unataka westham ambaye jana kagongwa na arsenal ambayo haikuwa kwenye form aje amfunge city subili tumalize uefa ndio utaiona sura halisi ya city epl ,hakuna mbwa atakatiza nakwambia ...!

Mbaya zaidi unaona wolves ni wazuri Sana wanaweza kumfunga city ila wewe hawawezi kukufunga au hujui kama ina game na wolves? Kaangalie game na wolves round ya kwanza ulitokaje kabla hujasema city tulishinda ushindi mwembamba wa penalty na wolves round ya kwanza , mashabiki wa liverpool wanaojua mpira wametulia kabisa kuhusu hii show ,sio kwamba wameshindwa kujitokeza kusema watachukua makombe manne ila wanajua mpira ulivo ,na match ilivo

Mimi nasema hivi hakuna mbwa yeyote atakayebaki salama akikutana na city mpaka may 22 ni kusambaza kipigo cha mbwa Koko mwendo wa 3+ goal mpaka wabweke bweeeee bweeeee bweeeee
Pesa za mafuta zimetuletea washabiki wa ajabu sana kwenye soka.
Sijui kwanini washabiki wa Manchester city na Chelsea wengi wao wanaendeshwa na mihemuko. Kijana Kama soka umeanza kuangalia juzi basi jitahidi uwe unakaa kimya unajifunza vitu, kwenye historia ya soka zimetokea mirracle nyingi sana pengine hata huzifahamu na ndio maana umekuwa mropokaji.
 
Wewe ndio mjinga kupangie timu nyingine kupoteza huku hujielewi kama wewe mwenyewe Spurs anaweza kukunyonyoa weekend hii
 
Wazee wa Europa naona mnacheza Leo .....

Maana uefa ni kesho

Real Madrid Vs Manchester city

Hayo mengine ni wastage of time
 
Captain Marvelous hii nightmare bado inaniwinda mpaka leo hii nisiwe muongo.
Screenshot_20220503-103224~2.jpg
 
Captain Marvelous hii nightmare bado inaniwinda mpaka leo hii nisiwe muongo.View attachment 2209503
Yaaani BARDIZBAH hapa ubingwa tuliunusa 🤣🤣🤣akaingia yule dogo Dwight Gayle ndani ya dakika 11 tukawa tumepigika na ngoma kuishia sare ambayo kimsingi ilikua ni kama tumepoteza ile gemu kocha wa Palace babu Pulis hakua na maneno mengi zaidi ya kicheko yaaani vijana wetu waliumia sana akiwemo Surez alilia wazi wazi kwani mpaka pale ilionekane basi tena ubingwa.

Refa alikua Clattenbag na alitunyima penati nadhani mbili ile gemu kingine ilikua kikosi dhaifu sana japo tulikimbizana na Ethad boys lakini ilikua individual brilliance ya Surez, Sturidge na Gerrard msimu ule walikua motoo huku dogo Sterling na Coutinho nao waki shine.

Tofauti ya kipindi kile na sasa pia na kua na solid keeper ambae anawapa confidence mabeki hata kwenye 1 vs. 1 Allison yupo makini sana. Ametuokoa mara nyingi sana na haya mambo ya high line ndio kabisaaaaa. Pia mabeki sasa sio tena kiwango cha kuungaunga akina Sakho nk sasa tuna beki bora duniani VVD anawafanya anaocheza nao pia kua bora.

Ile gemu itabaki kwenye vichwa vyetu kwa muda mrefu sana ndugu yangu yaaaaani.

Ajabu sio Gayle wala Pulis baada ya pale ku shine walififia hukoooo.

Asante Klopp kwa kutufuta machozi yale maana kwa sasa mipango inaonekana kilichobakia sasa ni ubao wa makombe upendeze.

YNWA
 
Mwenyewe nahisi Man CTY anaweza kupoteza points kwa Wolverhampton au West ham maana hizo team zitakuwa zinagombania kucheza Europa
Msimu wa 2014-2015 mzunguko wa pili hizo timu mbili Aston Villa na Westham walipigika na Manchester City tuombe sana hakika historia isijirudie tena.

YNWA
 
Yaaani BARDIZBAH hapa ubingwa tuliunusa akaingia yule dogo Dwight Gayle ndani ya dakika 11 tukawa tumepigika na ngoma kuishia sare ambayo kimsingi ilikua ni kama tumepoteza ile gemu kocha wa Palace babu Pulis hakua na maneno mengi zaidi ya kicheko yaaani vijana wetu waliumia sana akiwemo Surez alilia wazi wazi kwani mpaka pale ilionekane basi tena ubingwa.

Refa alikua Clattenbag na alitunyima penati nadhani mbili ile gemu kingine ilikua kikosi dhaifu sana japo tulikimbizana na Ethad boys lakini ilikua individual brilliance ya Surez, Sturidge na Gerrard msimu ule walikua motoo huku dogo Sterling na Coutinho nao waki shine.

Tofauti ya kipindi kile na sasa pia na kua na solid keeper ambae anawapa confidence mabeki hata kwenye 1 vs. 1 Allison yupo makini sana. Ametuokoa mara nyingi sana na haya mambo ya high line ndio kabisaaaaa. Pia mabeki sasa sio tena kiwango cha kuungaunga akina Sakho nk sasa tuna beki bora duniani VVD anawafanya anaocheza nao pia kua bora.

Ile gemu itabaki kwenye vichwa vyetu kwa muda mrefu sana ndugu yangu yaaaaani.

Ajabu sio Gayle wala Pulis baada ya pale ku shine walififia hukoooo.

Asante Klopp kwa kutufuta machozi yale maana kwa sasa mipango inaonekana kilichobakia sasa ni ubao wa makombe upendeze.

YNWA
Yah tulipokosa ile EPL mpaka nikaanza kuamini hatutopata EPL kwa miaka ya karibuni , oh mungu si Athuman brendan akaachia njia akaja JK mtetezi wetu. Ila me naona kama Ken Daglish pia alituchelewesha kiasi maana alijaza timu yenye waingereza wenye viwango vya kupapasa.
SG awe hero zaid atusaidie kuisimamisha City msimu huu tumpe na medal yake
 
Na ndio ilikua hofu yangu ndugu kwamba akija Stev G atatujazia Waingereza pale Anfield yaaani Klopp kusaini nyongeza mbona tumeokolewa parefu sanaaaa.

Klopp kwetu is the Sent One.

Dalglish alikua failure kubwa pale ukiacha kombe lake 2012 yaaani sijui alikua usingizini kuelewa soka limesha evolve kutoka Uingereza na kua International tazama Klopp ana wachezaji viwango kutoka kila bara yey3 haangalii cha unyumbani mbali ni kipaji kwanza.

YNWA
 
Screenshot_20220503_113523_com.android.chrome_edit_154739857655554.jpg

Tawachekee hawa jamaaaa kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
YNWA
 
Pesa za mafuta zimetuletea washabiki wa ajabu sana kwenye soka.
Sijui kwanini washabiki wa Manchester city na Chelsea wengi wao wanaendeshwa na mihemuko. Kijana Kama soka umeanza kuangalia juzi basi jitahidi uwe unakaa kimya unajifunza vitu, kwenye historia ya soka zimetokea mirracle nyingi sana pengine hata huzifahamu na ndio maana umekuwa mropokaji.
Kama mlishindwa kumfunga city Epl mnategemea nani amfunge? Mtasubiri sana Kila mtu ashinde mechi zake ndio kilichobaki
 
Siki zote nyani halioni kundule ,unakuja kuongelea city ambaye kampiga Leeds goli 4 et ana struggle,wakati wewe Newcastle kakushika umetoka na goli moja 1 ,wewe wa goli moja hujastruggle ila aliyefunga goli 4 amestruggle ,hivi kweli unaangaliaga mpira wewe ,unajua hakuna game nyepesi ???? Au unaagalia LiveScore matokeo ,kama city ile game amestruggle je liverpool na Newcastle utasemaje ???mashabiki wote wa Liverpool wameangalia hii game wanatetemeka na kutamani mpira uishe

Bado timu yako huioni kama inaweza kupoteza kwa Spurs ambaye anataka top four ,unakuja kutafuta matumaini kwa wolves ambayo game 5 hajapata ushindi wowote ,et unataka westham ambaye jana kagongwa na arsenal ambayo haikuwa kwenye form aje amfunge city subili tumalize uefa ndio utaiona sura halisi ya city epl ,hakuna mbwa atakatiza nakwambia ...!

Mbaya zaidi unaona wolves ni wazuri Sana wanaweza kumfunga city ila wewe hawawezi kukufunga au hujui kama ina game na wolves? Kaangalie game na wolves round ya kwanza ulitokaje kabla hujasema city tulishinda ushindi mwembamba wa penalty na wolves round ya kwanza , mashabiki wa liverpool wanaojua mpira wametulia kabisa kuhusu hii show ,sio kwamba wameshindwa kujitokeza kusema watachukua makombe manne ila wanajua mpira ulivo ,na match ilivo

Mimi nasema hivi hakuna mbwa yeyote atakayebaki salama akikutana na city mpaka may 22 ni kusambaza kipigo cha mbwa Koko mwendo wa 3+ goal mpaka wabweke bweeeee bweeeee bweeeee
Umetokwa na povu la sabuni ya doffi ila tutarudi hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom