Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
ππππππππππππππππππππππππππππ
Akuu namtaka yeyote mie.
YNWA
Huyu Leeds mpuuzi tu ana concede goal zote hizo 4 saiv sina imani saana kama ubingwa tutachukua, kuchukua kwetu ubingwa labda pep apigwe na sisi tushinde game zetu bila hivyo tutaishia kumsindikiza kipara.Naona hawajawa clinical pale mbele bado wanapapara ila hope watachukua hata point moja kama wakitulia.
Klopp kambipu Kipara kama kweli ana uhakika kutawala EPL miaka 6 ijayo basi nae asaini nyongeza ya mkataba.Huyu Leeds mpuuzi tu ana concede goal zote hizo 4 saiv sina imani saana kama ubingwa tutachukua, kuchukua kwetu ubingwa labda pep apigwe na sisi tushinde game zetu bila hivyo tutaishia kumsindikiza kipara.
Wakat mwingine kumbe hata ukiwa na pesa ukajaza bahari ya atlantic, haiwez kununua afya / uhai.
Acha kabisa Mkuu kifo kina siri kubwa sana... Tetesi ni kwamba kwa miezi 6 amekua akiumwo na familia wamejitahidi sana kuiweka siri lakini kifo kama kifo hata uwe na ela kiasi gani huwezi kwepa namba imetoka atungulie.Wakat mwingine kumbe hata ukiwa na pesa ukajaza bahari ya atlantic, haiwez kununua afya / uhai.
Cheki hizi kuku zilivokuwa zinajipa Moyo ....Naona hawajawa clinical pale mbele bado wanapapara ila hope watachukua hata point moja kama wakitulia.























Kazi uliyoshindwa unamtuma Leeds uko sawa kweli weweHuyu Leeds mpuuzi tu ana concede goal zote hizo 4 saiv sina imani saana kama ubingwa tutachukua, kuchukua kwetu ubingwa labda pep apigwe na sisi tushinde game zetu bila hivyo tutaishia kumsindikiza kipara.








pigwa misumari minne na GD ni 1 ....HahaaaHahaha Kipara kipindi cha kwanza bhana kashikwa pazuri sana.. Shinda ya Leeds hawana utulivu wana mpira wa kasi ajabu huyu kocha wao awaambia watulie na wa maintain attacking discipline ili wasiotee sana.
YNWA


mmeangalia game ya Newcastle mmeshikilia mbupu ,unakuja kutafuta nafuu kwa Leeds ,na yeye kala chuma nne ....this is ze cityzen
Ilikua ngumu sana labda tu kama ni maajabu ya mpira ila in reality city wapo extra mile kufingwa na timu dhaifu kama Leeds. Tumaini pekee n Newcastle walau wanaweza rusha ngumi za usoSorry, Washabiki wenzangu naomba kiwauliza! Hivi ni kweli kuna Mtu alitegemea Leeds United amzuie Man City?
Manake nimepitia baadhi ya comments nahisi kulikuwa na kitu kama False hope kuwa Leeds atamzuia Man City.
Aisee. Wewe mwenyewe umeibuka humo baada ya ushindi ulikua umebana mahali ukisubiri upate matokeo yako ndio ukimbie hapa nwa gemu ya kwanza ulimpiga 7 angalau jana japo kakupa platform ya kupunguza goal difference mpaka sasa ni 1 hukumpiga 7.Hahaaammeangalia game ya Newcastle mmeshikilia mbupu ,unakuja kutafuta nafuu kwa Leeds ,na yeye kala chuma nne ....this is ze cityzen
Ilikua aje kama mnazijua mkaruhusu tofauti ya pointi 14 iwe pointi 1 sasa?Cheki hizi kuku zilivokuwa zinajipa Moyo ....
Mtu kala chuma nne wewe ooh point Moja
Mtajuta Sana kutuacha wanaume kukaa pale juu kwa point Moja
Next
Liverpool vs Spurs
Man city vs Newcastle
Hzi marathon sis wanaume tunazijua ...![]()
Spurs anawamaliza ,katafuteni kombe la nne mtakalochukua ila sio eplAisee. Wewe mwenyewe umeibuka humo baada ya ushindi ulikua umebana mahali ukisubiri upate matokeo yako ndio ukimbie hapa nwa gemu ya kwanza ulimpiga 7 angalau jana japo kakupa platform ya kupunguza goal difference mpaka sasa ni 1 hukumpiga 7.
Kapambane na Don Carlos na sisi tupambane na Unai El Cholo then mwenye kiu zaidi atatua zake pale Paris fainali Uefa.
YNWA




Hahahaha Spurs yupi animalize aisee labda na hio mechi VAR walale usingiz kama ile mechi ya kwao lakini kama itakua fair game ni imani sana vijana wangu kumchapa za kutosha Anfield na pazuri mechi za Spurs akija pale hua ni magoli mvua sitegemie na hii iwe tofauti kwani nao wanapataka sana nafasi ya nne.Spurs anawamaliza ,katafuteni kombe la nne mtakalochukua ila sio epl![]()
Maake kwanza nichekeSpurs atatua anfid timu ikiwa haina presha inasubiri fainali Uefa, atapangiwa kikosi full tofauti na New Castle pira litapigwa na anfid hatoki mtu
City atakuwa katupwa nje ya mashindano uefa atakuja na hasira kali, atashinda game hii, wakumzia ni West Ham tu ndiye mwenye ubavu wa kuzoa point 3 mbele ya kipara huku liver tukishinda games zote na kuwa mabingwa










Kwenye hili jukwaa unafanya nini wakati msimu huu wewe ni mke wetuMaake kwanza nicheke
Unaonesha namna gani wewe ni kuku halisi ,![]()