Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
YNWA
TAA anawangoja wale nyambizi wa manjano, game itabidi iishe first half tupumzike tuwangoje spurs, binafsi sijakata tamaa na EPL kabisa.
Hahaha Kipara kipindi cha kwanza bhana kashikwa pazuri sana.. Shinda ya Leeds hawana utulivu wana mpira wa kasi ajabu huyu kocha wao awaambia watulie na wa maintain attacking discipline ili wasiotee sana.TAA anawangoja wale nyambizi wa manjano, game itabidi iishe first half tupumzike tuwangoje spurs, binafsi sijakata tamaa na EPL kabisa.
Nafatilia game na leeda hapa naona Citizen anastruggle, leeds wanacheza mpira mkubwa sanaa.
Naona hawajawa clinical pale mbele bado wanapapara ila hope watachukua hata point moja kama wakitulia.Hahaha Kipara kipindi cha kwanza bhana kashikwa pazuri sana.. Shinda ya Leeds hawana utulivu wana mpira wa kasi ajabu huyu kocha wao awaambia watulie na wa maintain attacking discipline ili wasiotee sana.
YNWA
View attachment 2206536
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio shinda ya kuiga hii yaaani Unai anamkopi El Cholo ohoo atapasuka tu.
YNWA
Yeah hata pasi pale mbele wanachelewa kupiga na mpaka pale zimepigwa Citizens wamesharudi kwenye defensive set up.Naona hawajawa clinical pale mbele bado wanapapara ila hope watachukua hata point moja kama wakitulia.
Hahaha aliemshauri Unai aje Anfield apaki basi alimshauru vimbaya maana sasa kwao wakifunguka kusaka magoli ndio tutaamsha haswa.Hata Barca walifanyA hivyo hivyo ila walikufa nne bila pale anfield
Endelea mkuu kutupa upto date ya the citizens usikatishwe tamaa malimwenguNaona hawajawa clinical pale mbele bado wanapapara ila hope watachukua hata point moja kama wakitulia.