Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Tunatua namna hii pale Yellow submarine 🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣
YNWA
Sorry, Washabiki wenzangu naomba kiwauliza! Hivi ni kweli kuna Mtu alitegemea Leeds United amzuie Man City?
Manake nimepitia baadhi ya comments nahisi kulikuwa na kitu kama False hope kuwa Leeds atamzuia Man City.
Hakuna timu mbovu kwa Sasa kama wolves ,yaani ni kujipigia tu .....labda kidogo westhamHapana mkuu,hope iliyopo ni Kwa wolves man city anaenda nyumbani Kwa wolves na mechi ya kwanza city alishinda goli moja la penalty Na wolves walicheza pungufu na ilionekana kabisa city kabebwa.
Sasa nyumbani Kwa wolves pale tunaamini city hawata chomoka.tofauti na hapo hakuna timu nyingine.

Jota + Diaz < Lukaku