ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,682
Ligi ya Spain shikamoo
Anfield Watch twitter rarely fails man.Mkuu hizi Caption unazopost unauhakika zinatoka kwenye source sahihi?
Manishiti mbona ameshatoka! Jamaa likifunga kagoli kamoja tu kwisha habari yake! Hivi UEFA bado wanahesabu faida ya goli la ugenini?Kapambane na Madrid Kwanza mkuu kumbuka Madrid hajawah kushindwa kumaliza mechi nyumban kwake
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wamekuja kudefence alafu wacheze counter attack.Hv hawa Villarreal wanacheza 4 4 2 kweli?
Hakuna hicho kitu tena siku hiziManishiti mbona ameshatoka! Jamaa likifunga kagoli kamoja tu kwisha habari yake! Hivi UEFA bado wanahesabu faida ya goli la ugenini?
Kwa hiyo kama Real Madrid akishinda goli moja nani anaenda fainali sasa?Hakuna hicho kitu tena siku hizi
Hapana, hakuna goli la ugenini kwasasa. Ili madrid apite inabidi ashinde mbili bilaManishiti mbona ameshatoka! Jamaa likifunga kagoli kamoja tu kwisha habari yake! Hivi UEFA bado wanahesabu faida ya goli la ugenini?
Naona Unai alitazama vyema gemu ya Everton huyu si bure maana wametulia tulii kipindi cha kwanza...Ngumu kumeza wamebana wataachia
Dakika zinaongezwa na ikishindikana kutoa mshindi basi matutaKwa hiyo kama Real Madrid akishinda goli moja nani anaenda fainali sasa?
Duh, hesabu yake ngumu sana hii!Hapana, hakuna goli la ugenini kwasasa. Ili madrid apite inabidi ashinde mbili bila
Umeona vema mkuu! Hata mimi sioni anachofanya humo ndani! Mwakani wampe timu ya watoto wa miaka mitatu aanze kuwafundisha soka!Keita anahitajika sana mechi hii, Hendo atoke
Wanaenda dk 120Kwa hiyo kama Real Madrid akishinda goli moja nani anaenda fainali sasa?
Ile sumu ya goli 8 alizokugonga siku ile inaweza kuchukua miaka 100 mbele ndio itoke na walau kuanza kupunguza chuki kidogo ya kitu kinachoitwa Manchester.Sisi kama Arsenal tunaitakia Liverpool kila la kheri. Tunaomba Liverpool achkue makombe yote manne msimu huu.
Tunaichukia Manchester United kama timu na imesababisha tuuchukie mji wa Manchester na kila kinachohusiana na mji huo.
#wasagakungunikazini