makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,589
Football is an art and thiago Alcantara is an artist
Kapteni wetu wa kimataifa 😂😂😂🙌🙌🙌
Wewe kilichokuboa ni matokeo acha kutuona watotoSijui kwanini nimepoteza muda kuangalia game ya kiboya kama hii ...!!!!! Hivi hii kweli ni CL au Europa ,..bored game ..

liva angepigwa Leo kwako ingekuwa mechi saaaafi kabisa...NEXT SEASON JARIBU TENA,SAFARI IMEISHIA MADRIDUtajuta sana msimu huu😃Sijui kwanini nimepoteza muda kuangalia game ya kiboya kama hii ...!!!!! Hivi hii kweli ni CL au Europa ,..bored game ..
MachineView attachment 2203033
UNSTOPPABLE 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎TUNAWACHEKIIIIIIIIIIIIIIIII
YNWA
Le Captain Hendoooo
Mashine iko kiwango sana sasa hivi!
Jana umeshinda kipindi Cha ngapi mbele ya Everton ?
Mzee usifikili mpira ni kubwabwaja maneno ,hakuna game rahisi kabisa na usifikili makocha hawajui ....hao kina klop & pep maneno wanayoongea dressing room kuwasisitiza wacheza ni hatariiii ....
Jana tu umeona first half 0-0 klop alivokimbia dressing room?
Huko ndani Kuna maneno mazito zaidi hata matumain hewa unayojipa hapa .....
Keep watching Hadi may 22
... anajisahaulisha tu huyo jamaa.Man City vs Everton!
FA iliwaomba msamaha Everton kwa kuwanyima penalty ya wazi dakika ya 90.
Au umesahau?