King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Yule mwambia wa wasafi aliyetabiri live kuwa villareal anamtoa buyern ,Leo kasema Tena bila kupepesa macho kuwa Liverpool anatolewa na villareal 😅😅
Maake kwanza nicheke kidogo
Liverpool haijawahi kuendeshwa na Wapiga Ramli