Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
Hivi sisi tuna game mkononi?

, acha tu enjoy bhanaKweli Klopp akichomekea hapendezi
Hivi sisi tuna game mkononi?
Tunatakiwa kuwa very clinical mbele ya goli tukipata 4+ bila kuruhusu itakuwa vyedi sana.maana tukifanya hvyo 2nd leg itakuwa nyepesi na tutawekeza nguvu kubwa kwenye EPL
Ni Kama ambavyo tulishinda nyingi v Benfica then ikawa nyepesi ya marudiano.
Ingawa semi final haijawai kuwa nyepesi
Kapambane na Madrid Kwanza mkuu kumbuka Madrid hajawah kushindwa kumaliza mechi nyumban kwake
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Everton na ubovu wake umeshindwa kupata goli 3+ Sasa unataka kupata goli 4 mbele ya solid defence ya Villarreal ilivo compact,, 😅
Leo Ni mechi ya kisasi kwetu Liverpool,Maana Kocha wa Villarreal Unai Emery Alikuwa Sevilla na walitufunga kwenye final ya Europa Ligi.!!
Leo Ni kisasi na natamani Sana game tuimalize Anfield though Villarreal sio team ya kubeza.
Osiiie, hii vyedi watu wameilewa kweli?Tunatakiwa kuwa very clinical mbele ya goli tukipata 4+ bila kuruhusu itakuwa vyedi sana.maana tukifanya hvyo 2nd leg itakuwa nyepesi na tutawekeza nguvu kubwa kwenye EPL
Ni Kama ambavyo tulishinda nyingi v Benfica then ikawa nyepesi ya marudiano.
Ingawa semi final haijawai kuwa nyepesi

Weekend wanakutana na leeds iliyochangamka lolote laweza kutokeaman city angekua na game ngumu weekend ingekua poa sana, maana asingeweza kuweka full mkoko.......
hata hivyo sio vibaya, wametumia nguvu nyingi sana jana, na bado wana mlima kule madrid....
Weekend wanakutana na leeds iliyochangamka lolote laweza kutokea
Unamzungumzia Everton huyu uliyemfunga kwa Msaada wa Marefa? Au Kuna mwengine?