Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

SHALLOM GUYS

Tuangalie Mienendo ya Man city kwa jicho la kimpira Pep ameshaona hana uhakika wa kuitoa Real Madrid anachokifanya ni kuhakikisha kwamba hapotezi game ya EPL

Kimpira Madrid ndo timu ya pili msimu huu ambayo haiangalii Home ad Away wao wanachojua ni kucheza mpira kutumia chance wanazopata na kutumia makosa unayoyafanya mpinzani sasa pep ameshashtuka hilo

Sijui ni mimi tu ndo naliona hili au?

TU NA KIKOSI KIKUBWA SANA SANA MSIMU HUU NA IJAYO

LIVERPOOL CHAMA KUBWA 🔥🔥🔥
Hapana haipo hivyo kwani ndugu Kipara anataka makombe yote mawili ndugu yaaani atapambana mpaka mwisho.

Kombe ambalo alicheza karata zake na akafeli kutokana ma KDB kutokua fiti kabisa ni FA tu lakini kwingine anapambana sana ahakikishe anayadaka yote mawili.

YNWA
 
View attachment 2199380

Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.

YNWA
Usiwe na shaka mkuu.
Safari hii hawachomoi kwa wolves na ndiyo tutakapowazidi point 2
 
Hapana haipo hivyo kwani ndugu Kipara anataka makombe yote mawili ndugu yaaani atapambana mpaka mwisho.

Kombe ambalo alicheza karata zake na akafeli kutokana ma KDB kutokua fiti kabisa ni FA tu lakini kwingine anapambana sana ahakikishe anayadaka yote mawili.

YNWA
Hilo silioni kwa pep kabisa maybe tuone kitatokea nini Madrid mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa
 
2acc3cb9-64e8-43e5-a71e-c08cc63eb424.jpg
 
Hilo silioni kwa pep kabisa maybe tuone kitatokea nini Madrid mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa
Hakuna timu nyepesi kama Madrid kabisa ,hawajui kupress wanacheza nyuma huku wakisubili counter attack ya vin na benzema....hata hivyo wamemtoa Chelsea na psg kwa mistake za makipa Wala hawana build up nzuri ya mashambulizi ....!

Madrid ni timu nyepesi Sana ,walitembelea mistake za Chelsea na psg kufuzu ....!

Sioni wakitusumbua kabisa hawa ,tukicheza possession football haki ya nani utawakataa Madrid ....

Subili uone ....!
 
Kwa kweli akapambane kwingine watakakompa thamani anayostahili.
Kabisa hata Klopp anamwachia roho safi kabisaaaa...

Dogo mazoezini anajituma kama ndio chaguo la kwanza pale mbele. Ana mind set moja matata sana hilo pekee linatosha kuona anastahili kucheza dakika nyingi kwingine maana kwetu pamefurika. Nashangaa hawa Arsenal hawamuoni huyu dogo angewafaa sana.

YNWA
 
Hilo silioni kwa pep kabisa maybe tuone kitatokea nini Madrid mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa
Sawa muda utasema. Cha msingi kila mmoja apambane mechi zake mashindano yote aafu hesabu zitajulikana kadri mechi zinavyosonga.

YNWA
 
Congart both of u kops... Jioni ya jana dakika 45 za kwanza niliamini hatutaweza kufungua pattern iliyowekwa na backline na viungo waliojazwa pale kati. Tulikuwa na possession tu lakini hatukuwa na hatari yoyote tuliyowasababishia. Zaidi ya wide shoot aliyopiga mane.

Second half. Baada ya zile double sub, ndio mpira ukabadilika. 90% ya mpira ulichezwa kwemye half yao. Toffie walikuwa wakivizia counter wakimtumia Godon, bila kujua
Godon ana akili kama za kisinda.
Robo alawanyazisha dk 62. Wakavurugwa. Origi mzee wa mechi muhimu akawamalizia. Nimefurahia point 3. Ila nimewaonea huruma everton na Lampard wao. Wanaenda kucheza championship sasa. Wanakazi ngumu kuliko burnley.
Tuzidi kushikamana.
 
Hakuna timu nyepesi kama Madrid kabisa ,hawajui kupress wanacheza nyuma huku wakisubili counter attack ya vin na benzema....hata hivyo wamemtoa Chelsea na psg kwa mistake za makipa Wala hawana build up nzuri ya mashambulizi ....!

Madrid ni timu nyepesi Sana ,walitembelea mistake za Chelsea na psg kufuzu ....!

Sioni wakitusumbua kabisa hawa ,tukicheza possession football haki ya nani utawakataa Madrid ....

Subili uone ....!

Madrid bado wanamuona Pep ni Mbasalona hivyo hawatomchukulia kikawaida.
Watamkamia kwa nyanja zote.
 
inauma kweli, sijui tutumie mbinu gani kuondoa utawala wa City, 2018/19 kombe lilikua lakwetu kabisa kuliko msimu huu ila tulufeli wapi sijui
Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi

Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.

Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu 😂😂😂😂😂 1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.

No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.

Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.

Hapa sare ya Brentford na chelsea ndo zilituvuruga, sare ya Mancity ni bargain kutokana na quality yao na venue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom