Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi
Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.
Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu





1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.
No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.
Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.
YNWA