Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220424_214837_com.android.chrome_edit_119191414344311.jpg

Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.

YNWA
 
Mpumbavu huyu eti alikuwa akipigiwa mpira anaudaka na analala
Kipindi cha kwanza mpira ulichezwa dakika 28 tu yaaani dakika 20 hawa Everton walizipoteza kwa kuanguka hovyo nk....

Ilifika mahala mtangazaji Jim Belgian akasema Lampard anatumia mbinu za El Cholo maana ule mpira wao wa leo ligi ya Uingereza hauchezwi vile kabisaaaa.

YNWA
 
View attachment 2199380

Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.

YNWA
Hapa game kidogooo ngumu ni westham na Newcastle tu ...hizo nyingine watajuta kuingia uwanjan ni kipigo na 3+ goal
 
Jordan Henderson ana zali tu yule dogo kua Kapteni wa Liverpool maana ukitazama kwenye stat kama kigezo cha huo Kapteni wala hatomboi...ukimlinganisha output yake na MF za washidani wetu ama pia kwa baadhi ya wachezaji wetu pale utaona

Yaaani akiwepo uwanjani na asipokuwepo hakuna tofauti yotote kimatokeo sana sana naonga anacheleweshi mashumbulizi na yale ma back pass yake.

Ana impact ya kawaida sana klabuni japo kigezo hua wanasema ni mhamasishaji mzuri sana pale inapohitajika huko vyumbani hua anasimama vyema sana kama Kapteni lakini uwanjani olololo badoo sana.

YNWA
Linabebwa tu na mfumo
Yeye ni kupiga tu nyuma mpira..juzi nilitamani nimnase kibao.

Origi wetu jamani watuachie🥺
 
Hapa game kidogooo ngumu ni westham na Newcastle tu ...hizo nyingine watajuta kuingia uwanjan ni kipigo na 3+ goal
Hahahaha bhanaaaaa binafsi sijamalizana na Newcastle na Wolverhampton na hao Tottenham Spurs na fununu ni kwamba wasipofika nafasi ya nne upo uwezekano Conte kutimkia PSG haha hivyo kuanzia sasa kazi kwao waregee Conte asepe.

YNWA
 
Linabebwa tu na mfuko
Yeye ni kupiga tu nyuma mpira..juzi nilitamani nimnase kibao.

Origi wetu jamani watuachie🥺
Muache Origi bhana kiroho safi umri wake sio kukaa benchi utadhani majeruhi kumbe yupo fit muache akapambane awe chaguo la kwanza kwingine kwa sasa pale mbele hapati namba kwetu.

Hahaha tulia Kapteni unae.

YNWA
 
SHALLOM GUYS

Tuangalie Mienendo ya Man city kwa jicho la kimpira Pep ameshaona hana uhakika wa kuitoa Real Madrid anachokifanya ni kuhakikisha kwamba hapotezi game ya EPL

Kimpira Madrid ndo timu ya pili msimu huu ambayo haiangalii Home ad Away wao wanachojua ni kucheza mpira kutumia chance wanazopata na kutumia makosa unayoyafanya mpinzani sasa pep ameshashtuka hilo

Sijui ni mimi tu ndo naliona hili au?

TU NA KIKOSI KIKUBWA SANA SANA MSIMU HUU NA IJAYO

LIVERPOOL CHAMA KUBWA 🔥🔥🔥
 
View attachment 2199380

Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.

YNWA
Inabidi Gerrad nae atusaidie hiyo ya aston villa...
 
Inabidi Gerrad nae atusaidie hiyo ya aston villa...
Bhana Gerrard mwenyewe pale hapaeleweki aisee. Angebaki na kike kikosi kama alivyokikuta lakini tangu awelete wachezaji wake January wana msimu wa kusuasua sana.

Kama akiwa na kikosi kamili hio mechi atapambana vyema.

Mechi ngumu kwa Kipara ni ugenini Westham tu pale wa jipange. Kwa mbali Newcastle na Wolverhampton nao wanaweza kuwapa changamoto.

YNWA
 
Hahahaha bhanaaaaa binafsi sijamalizana na Newcastle na Wolverhampton na hao Tottenham Spurs na fununu ni kwamba wasipofika nafasi ya nne upo uwezekano Conte kutimkia PSG haha hivyo kuanzia sasa kazi kwao waregee Conte asepe.

YNWA
Nishawaangalia Newcastle sio ile tulikuwa tunajipigia goli 5 ,aliwapa tough game Chelsea mpaka niliwaheshimu ...!

Newcastle washabadilika sanaaa
 
Nishawaangalia Newcastle sio ile tulikuwa tunajipigia goli 5 ,aliwapa tough game Chelsea mpaka niliwaheshimu ...!

Newcastle washabadilika sanaaa
Yaaani dirisha la January wamelitumia vyema sana wale jamaa wamebadilika mpaka Klopp aliomba muda wa ile gemu yetu vs Newcastle muda ubadilishwe maana anajua vyema kuwapiga sio jambo jepesi inabidi kujipanga aisee.

Hawa Newcastle pengine ndio mechi yao aidha vs Manchester City ama Liverpool itazima huu utata wa hii pointi moja.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom