Kwishinei hakuna habari ya Pep kurudi Wembley msimu huu hahaha.Leo watatutambua vizuri😂😂😂
Hahahaha Manchester City walidhani ni kama Jumapili ujue.Haya bwana.
Tuchapeni sasa😂😂😂










Mkuu salah kafanyeje tena?hii timu bado limfumo la high line na offside trap lina tu hunt, ile ya sterling ingekua chuma
Nb: Tutafute tuu mteja wa Salah
Oh liver wanapita vichochoroni oh tutawachakazaHahahaha Manchester City walidhani ni kama Jumapili ujue.
YNWA








Nikae sasa niangalie hii mechi Kwa raha zanguKwishinei hakuna habari ya Pep kurudi Wembley msimu huu hahaha.
YNWA

















m binafsi sana ilikua ampe pasi Diaz tuue mechi mapema, kapiga nje










Ila nahisi kama bado dakika zingetosha huenda mahrez angechafua hali ya hewaHahahaha Manchester City walidhani ni kama Jumapili ujue.
YNWA
Lakini sometimes ubinafsi wake unasaidiaga na anajikuta anafunga goliSalah mbinafsi sana
Salah Ni striker hivyo ili afunge lazima a-take risk kwenye kuattemptm binafsi sana ilikua ampe pasi Diaz tuue mechi mapema, kapiga nje
Hiyohiyo pasi Angepiga ndani wote tungekenua humu na kumuona mwambam binafsi sana ilikua ampe pasi Diaz tuue mechi mapema, kapiga nje
ulitaka mpira uchezwe dakika ngapi boss ili muda uwatoshe city?Ila nahisi kama bado dakika zingetosha huenda mahrez angechafua hali ya hewa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kesho tunaenda kuwatoa fana hayo maneno ya kuaduraboooobooooo yatakuwa yameisha ...!!