Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi iishe tu na Liver mpewe ushindi ili kuficha heshima ya Kipara
Wakitoka hapo wasubiri udhalilishaji kutoka kwa the blues.

Uzuri Osthaadh Ngolo Kante atakuwa ameshamaliza funga.

Mbona watatujua?
 
3rd goal. Mane...
1650122413664.gif
 
january tumecheza bila salah, mane na keita
Liverpool kwetu changamoto hua ni beki CB chaguo la kwanza na pili wakiwa hawapo tunateseka sana.

Yaani Matip na Fabinho.

Sasa Klopp akamsajili Konate na dogo mdogo mdogo anazidi pata somo playing Liverpool way bado kinda sana huyu mwamba.

Otherwise kwingine hata bila Mane nk ushindi utakuja tu.

Tumelia sana na depth ya kikosi hiki muda mrefu tulikua tunatolea mfano Manchester City walivyo sheheni vipaji kila idara. Sasa angalau Liverpool unaweza sema taratibu kikosi kimekua cha ushindani maana wapo wachezaji benchi wakubadili gemu muda wowote.

Hawa wote ni Usajili wa kimkakati.
Tsimikas
Diaz
Jota
Konate.

Ndio maana leo hii hata FA na Carabao tunaingia mazima ingekua zamani hapa hatupo Wembley maana Klopp alijikuta anakomaa na UCL na EPL kutokana na ufinyu wa kikosi chetu.

Mdogo mdogo tutaelewana.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom