Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,102
- 1,909
Tutacheza na City mara nne msimu huu...our most difficult match at the moment
Mhmhmh OllaChuga Oc umedukuliwa ama umekunywa nini leo maana soon hapa hapa utaanza yale matakataka yako..Ameen😀😀
Hingereni liverpool kwa kufika nusu fainali, ninyi ni timu Bora.
#CFC💙💙💙
Tutacheza na City mara nne msimu huu...our most difficult match at the moment
Madrid kwa man city huwa ni mchumbaNahisi huenda mkakutana tena na Madrid fainali View attachment 2186686
Ni wewe kweli?😂😂😂😂😂😂😂Ameen😀😀
Hingereni liverpool kwa kufika nusu fainali, ninyi ni timu Bora.
#CFC💙💙💙
Maombi yetu tuliyomuweka mikononi mwa Mungu yamefanya kazi🤣🤣🤣🤣Mhmhmh OllaChuga Oc umedukuliwa ama umekunywa nini leo maana soon hapa hapa utaanza yale matakataka yako..
Pole, Darajani Thomas alichemka kikosi cha kazi kazi hakua makini sana nadhani kwa vile kabla ya sasa hajawai kutolewa na Real Madrid kwenye UCL alidhani atapita kumbe mzee wa Cuban Cigar alikua amejipanga vyema.
Poleni mmeteleza mjipange vyema msimu ujao kwa vile uhakika wa kumaliza big 4 unao.
Jumapili pambana umtoe Crystal Palace nje FA uingie fainali ukiwa na bahati unaweza ukalipata maana faino aidha Manchester City ama Liverpool mmoja yumo na unafahamu vyema sio wepesi.
YNWA
Wapo wanamtukana Mendy matusi😂😂😂😂😂😂😂Ewaaaa huo ndo uchugastan sasa
Hata nyie ni timu bora Ila hamkua makini tu...
Sasa hatutakuangusha tutampiga city tubebe FA na fainali akija tena tutamtwanga ila naitamani zaidi Real ili nilipe kisasi...
Mpaka hapo naiona fainali ni Madrid vs Villarreal, unyama sana mwaisa kuna watu hawataamini macho yao.
Hii ramli chonganishi hii.Mpaka hapo naiona fainali ni Madrid vs Villarreal, unyama sana mwaisa kuna watu hawataamini macho yao.
Amka wewe utakunya kitandaniMpaka hapo naiona fainali ni Madrid vs Villarreal, unyama sana mwaisa kuna watu hawataamini macho yao.







Hiloooo wivu utaliua!Mpaka hapo naiona fainali ni Madrid vs Villarreal, unyama sana mwaisa kuna watu hawataamini macho yao.
Unyama mwingi au sioMpaka hapo naiona fainali ni Madrid vs Villarreal, unyama sana mwaisa kuna watu hawataamini macho yao.





Madrid kwa man city ni mchumba zuchu mtupuMpaka hapo naiona fainali ni Madrid vs Villarreal, unyama sana mwaisa kuna watu hawataamini macho yao.