Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,427
- 11,151
Vice versa is true...



Soma ubao sheikh
Vice versa is true...



Oya acheni kulaumu wachezaji bila kujua roles zao uwanjani, Henderson ni muhimu off the ball, pressing wise anafanya kazi kubwa maana pep kachange from 433 to double pivot , so Thiago & hendo wanapress City's double pivot, henderson pia at times anampress Laporte na kuziba passing lane kwa B.Silva.Nilishasema tangu mwanzo kabisa, huyu mtu hakustahili kuanza kwenye huu mtanange, pale kati palihitaji mtu mbunifu kama Naby sio huyu Mr. Back pass.
Shehe ubao unasoma 2:1Vice versa is true...
Soma ubao sheikh

I told you kuja kwenye hili Jukwaa utapata heart attack turudi kwenye Majukwaa yetu ya kichovu tena nawatag Cash Money Forever lembuTimu yote muifanyie sub ila sub ni 3 tu
Mane kapaniki
Salah leo goigoi
Viungo wote wako off
Fullback ndio hao wanajipigia tu mipira
Mtawatoa wangapi 7?
Rudia tena 😃😂😃😂Mtajuta kuingia uwanja wa Etihad kuku nyie pumbavuuu snaa![]()
Takuwa, angalau saiviKwani wenzetu Waislamu wa hapo Uingereza huwa wanafuturu saa ngapi ?
Huenda hawa jamaa wanasumbuliwa na uchovu wa swaumu kali.
Ubao mbona upo ni 2:2?Shehe ubao unasoma 2:1
Au Kuna ubao mwingine![]()
Umekuwa mchambuzi wa Liverpool??congratulations home boyOya acheni kulaumu wachezaji bila kujua roles zao uwanjani, Henderson ni muhimu off the ball, pressing wise anafanya kazi kubwa maana pep kachange from 433 to double pivot , so Thiago & hendo wanapress City's double pivot, henderson pia at times anampress Laporte na kuziba passing lane kwa B.Silva.



Tukiwafunga ntakunyanyasa hadi ujuteMtajuta kuingia uwanja wa Etihad kuku nyie pumbavuuu snaa![]()
Hauwezi kua seriousUbao mbona upo ni 2:2?

😂😂😂😂 Wakina TAA na Robertson hawakabi vizuri ni lazima Centre back zipate shida.Ypaani sijui hata wanacheza nini humo ndani
Limatip linatingisha tu shingo beki hazikabi.
Nimezima zangu simu nisimalize bando bure
Kwelia aisee,Ubao mbona upo ni 2:2?


TushaamkaWakina TAA na Robertson hawakabi vizuri ni lazima Centre back zipate shida.
Kwelia aisee,
Mane mpumbav Sana, anataka kunichania.mkeka![]()


angalia usije ukapigwa kama kipindi kile 2017 50000 zilivyo tembeaAcha kabisa,angalia usije ukapigwa kama kipindi kile 2017 50000 zilivyo tembea
