Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game inahitaji baller na Diaz ni baller mzuri tu.

Klopp kwa sasa will be furious kwa wachezaji wake alichokiona kipindi cha kwanza. Yaaani kama namuona.

Manchester City wametumia makosa yetu kutuumiza.

YNWA
Ypaani sijui hata wanacheza nini humo ndani
Limatip linatingisha tu shingo beki hazikabi.

Nimezima zangu simu nisimalize bando bure
 
Leo tunawagonga mpaka mlie meeeeeeeee kama mbuzi kuku nyie na msituzoeeeee


The champion of england [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Munapigaga kelele sana na hiki kitimu chenu cha mchongo haya leo mnapakatwa huko.
Kama nyie mlivyo pakatwa na Real madrid Tena mkiwa nyumbani? Haya huyu huyu city aliwapakata nje ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtajuta kuingia uwanja wa Etihad kuku nyie pumbavuuu snaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kama nyie mlivyo pakatwa na Real madrid Tena mkiwa nyumbani? Haya huyu huyu city aliwapakata nje ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo mnapakatwa subiri uone.

J4 tunaenda kupindua meza.

Shinda hapo.,
 
Da beki yetu Leo imepwaya I hope 2nd half watatulia na kumaliza game.. Sema mane Leo kabanwa sana..
Luis dias na firminho naamini watachange game..
 
Nyieee,
Jogoo anapelekewa Moto uko[emoji3]
JamiiForums1130374452.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom