Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Japo mpira bado haujaisha nani dk 90 na kufungwa ni kawaida je' nyie mnaongoza League sio?
Japo mpira bado haujaisha nani dk 90 na kufungwa ni kawaida je' nyie mnaongoza League sio?
Binafsi ni mshabiki wa Chelsea FC na kiukweli kabisa napenda sana msimu huu Liverpool iwe bingwa kwa kumfunga Man City mechi ya leo maana Man City wakichukua ubingwa wa EPL mwaka huu wanakuwa na rekodi sawa na Chelsea FC kiubingwa mara 6.Mpo nafasi ya ngapi mkuu hata kama leo tukipigwa?

Mmoja kati ya mane au salah inabidi asirudi sec half, mane akitaka kuondoka wamruhusu
Munapigaga kelele sana na hiki kitimu chenu cha mchongo haya leo mnapakatwa huko.Ndio haina maajabu haya yako yenye maajabu ipo nafasi ya ngapi? Na hii Liverpool isiyokuwa na maajabu ipo nafasi ya ngapi?
Ngumu kuamini ndugu kama hawa ndio Liverpool lakini kama tukicheza kipindi cha pili hivi tutachezea mengi tu.Hamjiamini kabisa. Leo hamchezi staili yenu viungo hawajiamini, makosa mengi
City watawafungia woga
Mkuu umewaza kama mimiHahaha bhana bado dakika 45+.
Hapa atoke Mane aingie Diaz awakimbize kwanza maana mpaka hapa kipindi cha kwanza hakika Manchester City were the better side.
Kingine pale nyuma wamelegea sana sijui wamekutwa na nini leo hawa ma beki wetu yaaani makosa mengiiiiiiiii sana.
YNWA
Game ya Gomez hiiTAA kama kawaida yake mechi dhidi Man City anaendelea kuwa uchochoro.
Wamekoswa koswa noma ila Becker ni kipa bhana huyu kipara afungwe analeta utemi kweny ligBinafsi ni mshabiki wa Chelsea FC na kiukweli kabisa napenda sana msimu huu Liverpool iwe bingwa kwa kumfunga Man City mechi ya leo maana Man City wakichukua ubingwa wa EPL mwaka huu wanakuwa na rekodi sawa na Chelsea FC kiubingwa mara 6.
Lakini bila uwongo kiukweli hii mechi Liverpool imezidiwa sana kipindi cha kwanza, nimeomba sana dua lakini ndiyo hivyo tena
Labda kipindi cha pili huenda kukawa na mabadiliko, lakini itoshe tu kusema Liverpool akiendelea na makosa kama ya dkk 45 za kwanza huenda akafungwa au akasuluhu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mmoja kati ya mane au salah inabidi asirudi sec half, mane akitaka kuondoka wamruhusu
Kila siku huo ni uchochoro, moments kama hizi ndio mnajua?TAA kama kawaida yake mechi dhidi Man City anaendelea kuwa uchochoro.
Kuna pasi limepiga kizembe nimetamani nimrangue makofiNilishasema tangu mwanzo kabisa, huyu mtu hakustahili kuanza kwenye huu mtanange, pale kati palihitaji mtu mbunifu kama Naby sio huyu Mr. Back pass.

Kuna pasi limepiga kizembe nimetamani nimrangue makofi![]()
Timu yote muifanyie sub ila sub ni 3 tuOur fullback need to be subbed
Plus hendo
Hii game inahitaji baller na Diaz ni baller mzuri tu.Mkuu umewaza kama mimi
Aingie yule dogo angalau anajua kutafuta mpira aisee.
Akina Mane leo wapo kama wagonjwa humo ndani.
City akishindwa kushinda hii match ni ujinga wake.Nipo hapa naangalia
Kiherehere hakijaniacha salama
Mechi bado zipo ila leo ndo siku ya kumpita kipara na kukaa pale juu.
Tukishindwa leo basi probability ya kukaa pale juu itakuwa ndogo mno aisee.
Yuko njemaIfike kipindi Henderson atuheshimu yeye mwenyewe amuombe Klop amuweke bench! Msimu mzima mchezaji umecheza vizuri kwenye game mbili.
Huyu Matip game kama hizi ndio zinaexpose upuuzi wake
Ningrkuwa klopp ngekuwa nishamng'oa humo ndani kitamboHuyu hastahili hata kidogo kurudi hapo second half.
Kuna pasi limepiga kizembe nimetamani nimrangue makofi![]()