Nyie kwenye league mpo nafasi ya ngapi?Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.
Kaa kwa kutulia maana city anakupiga msako huko.Nyie kwenye league mpo nafasi ya ngapi?
Mpo nafasi ya ngapi mkuu hata kama leo tukipigwa?Kaa kwa kutulia maana city anakupiga msako huko.
Nafasi ya 3 unasemaje?Mpo nafasi ya ngapi mkuu hata kama leo tukipigwa?
Ndio haina maajabu haya yako yenye maajabu ipo nafasi ya ngapi? Na hii Liverpool isiyokuwa na maajabu ipo nafasi ya ngapi?Nafasi ya 3 unasemaje?
Timu yako haina maajabu
Hii ndo Sababu itakayotawala leoNyie kwenye league mpo nafasi ya ngapi?

Hahaha bhana bado dakika 45+.Tushaanza kupigwa dakika ya 5
Ile ya 5 Allison amepangua..asalalee Mara mpira huu hapa tena.
Nilikataa mimi kuangalia hii game![]()
Our fullback need to be subbedAllison anatubeba sana bila hivyo tungekua tumechezea nyingi
TAA kama kawaida yake mechi dhidi Man City anaendelea kuwa uchochoro.
Mabeki wetu wote hakuna mwenye afadhali kipindi cha kwanza.Robertson anaacha himaya yake na kumpa Walker kujinafasi

Hivi hili lihenderson wameliweka na Nini uwanjani
Ushezi huu![]()