Upo ?!na wakati wanatupeleka moto tushapoteanaYNWA ,USHINDI UPO
Madame tulia..waamin vijanaUpo na wakati wanatupeleka moto tushapoteana
Timu yetu sijui hata imeanzaje leo jamani[emoji3064]
Tushaanza kupigwa dakika ya 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khaaa tulia bhana enjoy the game.
Hii gemu kwa mashabiki wote wa timu mbili mbona inatia baridi fulani lakini ndio mpira aisee baada ya dakika 90 kuna mmoja atacheka ujue
YNWA
Hii game inatiana presha sana tutakufa kabla ya wakati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tushaanza kupigwa dakika ya 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile ya 5 Allison amepangua..asalalee Mara mpira huu hapa tena.
Nilikataa mimi kuangalia hii game[emoji27]
Wamenidisappoint sanaMadame tulia..waamin vijana
Tulia dogo hili jukwaa ni la Machampions ukija Jukwaa la Liverpool au Manchester City ni kujitakia heart attackWachezajo almost wote wako very nevous