Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa upande wako bado hamna uhakika,ndio maana unasema hivyo.

Safari hii kazi mnayo kule Spain.
Huko tunaenda kumchezea possession football, atletico Hana mbinu za kushambulia zaidi ya kupaki bus ....timu ya hivi haiwezi pindua matokeo hata siku moja .......

Sijui kipindi kile waliwafanya Nini aisee ,waliwafinyia kwa ndani hapo hapo anfield
 
Screenshot_20220406_001012_com.android.chrome_edit_510065449307063.jpg

MAN OF THE MATCH wetu ndio huyu hapa kafunga goli tamu balaa.

High class instinct..

Proper anticipation..

Super finish..

YNWA
 
Haibadilishi tunaongoza goli 3 ugenini ndugu.

Wanakuja Anfield kama umeona hata Raisi wao alivyotingisha kichwa anajiuliza Anfield ndio wanatoka aje kifua mbele kama Estadio hali ndio hii.

Haya sasa ndugu yangu pale Wanda Metropolitano utapaweza?

YNWA

Ukimuuliza hana uhakika haelewi itakuwaje kule.

Amepata hasira ndio maana amesema hivyo,sisi tayari mguu mmoja ndani.
 
Ukimuuliza hana uhakika haelewi itakuwaje kule.

Amepata hasira ndio maana amesema hivyo,sisi tayari mguu mmoja ndani.
😂😂😂😂😂Kashavurugwo anawaza Jumapili itakua aje.

Sie wala hatuna neno tunakwenda na gemu moja moja hatuna kuwaza kingine...

Kesho vijana warejee salama Anfield kuanza maadalizi ya Jumapili blockbuster game pale Ethad.

YNWA
 
Mkuu wachezaji wote wako fit hakuna majeruhi.

Klopp ashindwe yeye tu sasa hivi.
Na wala hashindwi kwanza umeona leo ailvyokua mwepesi wa kufanya sub baada ya kuona kati hapana utulivu yaaani ukiwa na benchi kiwango unakua na kifua cha kufanya mabadiliko mapema vile kuleta composure pale kati na hakika sub zimekuja wakati mwafaka.

YNWA
 
Huko tunaenda kumchezea possession football, atletico Hana mbinu za kushambulia zaidi ya kupaki bus ....timu ya hivi haiwezi pindua matokeo hata siku moja .......

Sijui kipindi kile waliwafanya Nini aisee ,waliwafinyia kwa ndani hapo hapo anfield

Wasiwatangulie tu kwenye matokeo,huo ukuta wake unakuwa hatari sana.
 
Nyt Red Buddies.

Tupo half time kwenda Nusu Fainali.

Gemu ilikua kali balaa.

Ushindi huu ugenini sio rahisi maana Champions League ikishafika hapa hua lolote linaweza kutokea na leo vijana kama kipindi cha kwanza wamecheza vyema sana. Ingekua umakini katika kumalizia hi gemu ilikua tunashinda goli 5.

Goli kipa wao hakika yupo vizuri sana top top saves leo kutoka kwa Salah, Jota na Diaz.

Next game ni Jumapili EPL pale Ethad ugenini hivyo hatuna majeruhi mapya ni jambo njema na tuna momentum kali sana.

We are ready.

We are ready
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom