Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Jumapili sio mbali mkuu tusubirie.liverpool wachezaji wake wote wapo hawana injury hata moja mpaka saizi.

Kufungwa hilo goli moja na benfica ndio umeona hatuwezi kukufunga?

Hakuna safu ya ushambuliaji hatari sasa hivi kuishinda hiyo ya Liverpool. Kila mechi ya umuhimu lazima tupate goli kuanzia 2. Na sisi hiyo ndio fainali yetu na wachezaji wanaonekana wanaitaka hiyo mechi sana.

Mechi ile ya kwanza tulitoka 2-2 baadhi ya wachezaji watu hawakucheza kama vile TAA, nafasi yake alicheza Milner mkamkimbiza mkapata sare sasa jumapili TAA atakuwepo.
 
City wakizubaa wanatolewa
Wewe jamaa ni fala na hujui Wala huangalii mpira ....hivi atletico ni timu ya kusema inaweza kupindua matokeo,timu ambayo hata touch kwenye box la mpinzani ni zero

Au Bado unawaza zile come back alizowafinya pale anfield Simeon
 
Citizen tusimpe hata draw, tuchukue zote 3 ili aongeze panik. Nawaza EPL kuliko makombe mengine.
Yeah ukiniambia nichague kati ya EPL na UCL hakika nachagua EPL any day of the week.

Kipara japo kalegea lakini akikutana na Liverpool hua anabadailika itakua gemu kali balaa.

YNWA
 
Mimi nasema hivi nyie Liverpool msipobebwa jumapili tunapiga goli zaidi ya nne (4) sijaona uimara wenu wa kutuzuia ....labda mpewe penalty za michongo tu ....!
Ushaanza kupaniki kama Kipara kwa nini tubebwe sie wala hatutaki ushindi wa mchongo...

Wewe jiadae kwa ushindi kama sie achana na bla bla

YNWA
 
Wewe jamaa ni fala na hujui Wala huangalii mpira ....hivi atletico ni timu ya kusema inaweza kupindua matokeo,timu ambayo hata touch kwenye box la mpinzani ni zero

Au Bado unawaza zile come back alizowafinya pale anfield Simeon

Mkuu kitu ambacho unatakiwa kuelewa kuwa atletico hajashindwa kufanya touch kwenye box lako plan yao nikuja kupata sare tu ili kama mpira wa touch kwenye box lako utauona politano kule ambapo hutakuwa na nguvu kama uliyokuwa nayo etihad hapo.hapo etihad mlijipanga sana mpaka kusema mtacheza na wachezaji 12,

Kule hamtakuwa na hiyo jeuri.na tunajua kukufunga city ukiwa nyumbani ni nguvu kuliko ukiwa ugenini.

Ukiwa ugenini ukifungwa hatuoni ajabu,

Ukiwa ugenini kufungwa ni kawaida tu.ndio maana wenzako wanataka mkacheze mpira spain kule wakati wao wakiwa wanaonesha huwezo wao.hapo hamtakuwa na kiburi,

Atletico wako vizuri kwenye kuzuia wachezaji wanafata maelekezo vizuri.
 
Kama wao wapo vizuri kuzuia sisi tutapress mpaka kuwafungua ....na wakija na mentality zile zile za kukaa half yao watu 10 basi tutawapigia possession football mpaka wataachia .....

Ni Bora Simeon tu afunguke tucheze mpira ile ujinga wake wa kimorihno kupaki basi hawezi fika popote kwa timu ambayo inaposses mpira kama city ...

Kiufupi simeon nimemchukulua poa kama ndio mbinu zake zile
 
Kama nyie mnavyopewaga penati za magumashi ile vs wolves na game ya Everton mlipewa ushindi wa mezani kabisa

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Yaaani Everton wakishuka daraja nakuhakikishia yule Refa wa ile mechi ahame nchi maana watamsaka popote alipo..
Screenshot_20220406_095548.jpg

Huu ndio ushindi wa mchongo ulikua na kuna VAR bure kabisaaaaaa.

Tangu mechi ile Everton hawajawai kua sana tena ni kama iliwavuruga mahala yaaani.

Referee alikua Paul Tierney na VAR alikua Chris Kavanagh wote hawa wana deni kubwa na hofu kubwa pale Everton
Hawa hapa
Paul
Screenshot_20220406_100232_com.android.chrome_edit_513770286033581.jpg

Chris
Screenshot_20220406_100334_com.android.chrome_edit_513758325265874.jpg

YNWA
 
Labda mbebwe na kupewa penalty hewa kama ya Watford vinginevyo mtajua hamjui
Aisee kumbe tulibebwa kwamba hukuona Jota akipigwa SPEAR matata sana...

Uliangalia gemu ama ulisimuliwa?

Haya toa goli la penati je bado hatupati pointi 3?

Haya pambana utoke salama kwako siji kusaka sare mie..

YNWA
 
Hivi unadhani Atletico ataanza tu game kwa kupaki basi?

Ataianza game kwa kukuwashia moto mpaka apate goli 1 tu then atapaki Basi avizie Kaunta.

Huyu nae anakuwa kama mgeni kwenye mashindano hayo? Au amevurugwa?

Maana iko wazi kabisa kule lazima atletico atafute goli la mapema sana city muda wote wanatakiwa kuwa mchezoni wajiangalie wakifungwa goli mapema jamaa wanarudi kuwapiga counter safari hii wanatafuta magoli hawakai 10 nyuma.

Jamaa anafikiri anacheza na Nottingham forest hapo kwamba Nottingham anakuwa anamuogopa anakaa nyuma tena, halafu yeye ndio ache mpira peke yake,hiyo ni uefa kila mtu hapo ni bingwa na anauwezo.

Halichofanya Simeon namuunga mkono kabisa maana kuna timu zinafanya zinajua zinataka kumaliza mechi round ya kwanza tu wakiwa nyumbani dawa yao ndio hiyo weka kumi nyuma wote ukiwa ugenini.halafu wakija nyumbani kwako lazima watakuwa wapole tu ndio mcheze mpira sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom