Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Aiseee hii gemu kwa kweli kiwango na refa makini sana hatiki faulo za bure anaacha mpira uchezwe safi sanaaa.
YNWA
YNWA
Amin hakika Saido Mane ni pure African boy...He is very humble
Nampenda huyu kaka aisee
Roho yake nyeupeeee
Mungu azidi muinua
Game ilikuwa ngumu asee. Sema tunajua ku grind results siku hizi. Miaka kadhaa hapo nyumba kama sio sare tulikuwa tunapigwa.DNA ya Champion's League inatubeba...
Hakuna sijui ugenini Wala nyumban saizi ..!
Kifurush Cha compact mkuuNaona konate kafumania nyavu, hii mechi nimeitafuta niiangalie lakini wapi, DSTV nao wameniwekea ya MC vs ATM tu.
Hakuna sijui ugenini Wala nyumban saizi ..!
Haibadilishi tunaongoza goli 3 ugenini ndugu.Hakuna sijui ugenini Wala nyumban saizi ..!
£100m hivi Champions League ana magoli mangapi.