Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Jamani😂😂😂😂😂Kwa kweli nimo humo huu usajili wa Thiago binafsi niliukataa kabisaaaa ila duh japo pamoja na management anaumia mia nimekuja kujua jamaa hua ni risk taker yaaani anajitoa na kujituma sana kupiga tackling za hatari sana bija kujali mwili wake ni made of Indian Biscuits 😂😂...
Kwa hili nampa Klopp big up sana.
YNWA
Touch wood
Huyu jamaa kila akigusa ardhi huwa nakua nervous
Msianze kumtia mikosi