Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Salah hakua na siku njema kazini Jumamosi lakini alivyotolewa Anfield nzima ililipuka kwa shangwe Mo Salah the King yaaani dogo anapendwa sana na huyu kwetu anatoshaaaaaaaa.Nimeipenda Liverpool kwasababu ya kuwa na wachezaji wakawaida sana sio world class lakini kulingana na ufundishaji wa Klopp wanatupa makombe, vijana ni wapambanaji, angalia signing ya Luis Diaz ni kijana asie na jina lakini ni mpambanaji. Sasa hawa kina sijui Mbappe mara Haaland wabaki huko huko.
Kwa namna uwajavyo FSG kweli wawe na package ya Mbappe ama Haaland mhmhmh sidhani labda Nike wawe na jambo la kusema kibiashara kama kweli hua wana buo ushawishi wa manunuzi.
Tunachohitaji ni kikosi cha ushindani sio kumtegemea mchezaji mmoja mmoja hio ngumu kwetu.
Nianavyo twende na usajili huu huu wa kimkakati kama Jota, Konate, Diaz nk hawa ni wapambanaji hawama maneno mengi.
YNWA



