King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
SALAH IS GETTING A NEW DEAL.
TUMESHINDA.
Kuna yule jamaa uliyekuwa unajadiliana naye alikuwa anakuja na cheap propaganda kuhusu Salah sijui anajisikiaje sasahivi.
Kitu pekee nilichobaini ni Kuwa hajui chochote kuhusu Liverpool na vipi inawatreat wachezaji zaidi ya kuwa ni Google reader kwani before 2016 (kabla ya Klopp) hakuwa hata akijua kama kuna siku atakuwa mshabiki wa Liverpool.



