Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Macho yake yanaogopeshaHahahahaha ni jamaa wa kazi kazi yule hanaga maneno mengi zaidi ya kufanya yake na sasa ana jambo lake anataka GOLDEN GLOVE SEASON HII ITUE KWAKE.
YNWA
Afu hata hacheki hovyo.
Btw nimeona Bobby pia anaupiga mwingi sana.

