Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dogo unaleta ucomedy kwenye mambo ya msingi?

Kwa Ufupi tu ni kwamba kumbe tunajibizana na Mtu ambaye hata historia ya juzi tu ya Timu yako huijui! Yani leo nimekuona ni bure kabisa na nimejihakikishia kuwa umejipachika Man City 2018 ndiyo maana hata hujui kuwa Pep na Klopp walikutana December 2016 Mancity ikafungwa 1 - 0 kwa goli la Utosi la Gini.

IN SUMMARY:
  • Klopp kwenye EPL kamfunga PEP mara 3 tu.
  • Pep kwenye EPL amfunga Klopp mara 3 tu.
  • Wametoka sare mara 5 EPL
  • Kwenye UCL Klopp kashinda zote mbili.

Fuatilia kwa makini Timu yako usiunge unge matokeo! Pep hajamzidi Klopp kwenye EPL wamefungana sawa mara 3 kila mmoja lakini Klopp kamfunga PEP mara 2 CL.

Hivyo kiujumla Klopp kambonda Pep mara 5 kwa zake 3.
Dalili za ubingwa zilionekana toka mechi ya wolves,juzi kati westham na arsenal....muda ambao tulistahili kufungwa goli tuliponyeka sababu ya bahatii,ili uwe bingwa unahitaji ujitume sana na bahati ndio inakuja
 
Sikilizeni nyie takataka ..Muchague epl ama uefa, mukisema mukimbizane pote basi mumeumia..

Sisi hatuna khabari tena ..Tunatetea taji letu mchana kweupe..

#CFC💙💙💙
 
Klopp ana kazi naye hiyo ni trick tu ili national timu asiitwe. 😂😂😂

Defending Trent’s defending
Like Klopp last night, I have had it with people like Ash saying Trent cant defend, “a defender’s first job is to defend”. Trent is statistically the best in the league at regaining possession, especially higher up. For simpletons like Ash defending means diving into tackles near your box and nothing else. Trent, like other Liverpool defenders, plays the game of percentages and shepherds attackers into safer areas. a lot of the times when he is one on one with the attacker.

Martinelli got past Trent twice i think and Trent stopped him more often. If that means Martinelli got the better of Trent then there has never been a good full back or defender in the history of the game, since attackers and quick wingers will more often than not be able to run past defenders in one on ones. That is just how football works. Martinelli was better against Man City and got past Cancelo numerous times. Into actual scoring positions too. Martinelli had one shot all game, after the 85th minute but he got the better of Trent, who cant defend? Never heard anyone say Cancelo cant defend. After Salah rinsed him for both Liverpool’s goals either. BTW Perisic was supposed to have rinsed Trent and Inter had the lowest xG of any team in the 2nd leg. Weird that

Trent is the only one who is observed with a microscope. Just watch the next game how easily wingers run past Cancelo and James the next game. Or just watch the Palace City game and see how often the error prone Walker messed up
AK

Yeah that’s right Ash, TAA is a defensive liability that England with their 3 centre backs, 2 wing backs and 2 defensive midfielders can’t afford. That defensive liability who is part of a defence to concede only 20 goals so far this season (third least in the PL the others being 18 and 19).

Risk aversity is why England will never succeed

Kuna watu wanaangalia mechi zetu kwa kutumia 'electron microscope'
Kawaida sana kwa mti wenye matunda, huku manure huku man💩 huku Everton huku chel💩 dah wazee hawatuachi tupumue 🙌🏾
Yote hayo kwasababu wanakereka sana na mizuka tuliyonayo juu ya chama letu, na ngoja tuyanyakue tena msimu huu hatalala mtu walahi 😂😂😂
 
Who cares if he can't defend or not, our system allows TAA to be stationed on opponents half most of the times thus when we are under attack on his flank he is the second line of defence if he is bypassed kutakua na Hendo then Fabinho then Matip thus no wonder with all this bla bla we aint conceding many goals just because Trent is attacking more than defending in fact its vice versa because when he is on song we score more and even concede less.

Hizi ni mind games who knows may be Citizens spinning facts here n there to get into our players mind. The good thing Klopp hua very protective if this boys he wont just sit down and let em have a go.

YNWA
 
Usipojua mind games epl hutoboi, na klopp ndo baba lao kwenye hio sector
 
Kweli we jamaa nimeamini umeanza kushabikia city juzi tu sasa ulileta mambo ya head to head kati ya Klopp na kipara halafu unaacha msimu wa kwanza Kipara alipokuja EPL
Siwezi bishana na wazee wa 80 Mimi hata smart phone mmekuja kujua Jana tu
 
i think rent boys sio proper name kama fun wa mpira linatumika sana kuwakilisha a young male prostitute thus y ata fa uingeleza wanasema la kibaguzi hipe sijakukwazwa

Nadhani kwa JF mimi ndiye pekee ninayoongoza kuwaita Chelsea Fanboys kuwa ni RENT BOYS lakini sijawahi kufafanua maana halisi ya hilo jina kwasababu in nature sio Jina zuri na wala Watu wengi humu hawalijui nini hasa maanayake na kwanini nalitumia! lakini hata nyinyi Chelsea munajionaje yani munapotuita majina mabaya kama Liverkuku halafu sisi tunawachora tu?

Lakini kwavile ni wewe mwenyewe ndiye umeanza kulieleza wacha na mimi nimalize.

SABABU YA CHELSEA KUITWA RENT BOYS.

- Kuanzia kipindi cha mwaka 1960 mpaka kufikia miaka ya mwisho wa 1980s Vijana wengi wa kiume kutoka maeneo mbalimbali ya Uingereza walikimbilia katika Jiji la London hasahasa walivutiwa na Mji wa Chelsea ambapo walijazana wengi hapo Mjini Chelsea! Vijana hao wa Kiume kutokana na Ugumu wa Maisha wakaamua kujiingiza katika biashara ya Ukahaba wakawa wanajiuza kama Mashoga ili kupata hela za kujikimu na kulipa Kodi mbalimbali ndipo Wakapewa Jina la Rent Boys.

- Halafu Kiongozi mmoja Mkubwa wa Chelsea akafumwa anamnyandua Kijana Mmoja wa Rent boy aliyevutiwa na hela za Kiongozi huyo! Kuanzia hapo ndiyo Chelsea kama Timu ikahusishwa moja kwa moja na Rent Boys.

Kuanzia miaka ya 1990 jina hilo lilianza kupotea lakini baada ya kuja ABRAMOVIC Wachezaji wakubwa waliojiunga na Timu ya Chelsea ambayo haikuwa na Legacy wala History yoyote kwa kuzikataa Man United, Liverpool na Arsenal ndiyo Washabiki wa Timu hizo wakasema Mchezaji yoyote hawezi kwenda Chelsea kwa ukubwa wa Timu au mapenzi bali wanakwenda pale kwa kufuata pesa tu kama walivyokuwa Rent Boys! Hivyo Wachezaji wote waliojiunga Chelsea ya Abramovic kwa kufuata hela nao Wakaitwa Rent Boys.

Kuanzia hapo Wachezaji na Washabiki wa Chelsea wakarudishiwa jina lao la RENT BOYS (Vijana Makahaba wa kiume (mashoga) wanaojiuza kutafuta hela) mpaka hii leo.

Hebu sikiliza na kawimbo cha Rent Boys haka 👇kutoka Ndani ya Anfield.
 
Nadhani kwa JF mimi ndiye pekee ninayoongoza kuwaita Chelsea Fanboys kuwa ni RENT BOYS lakini sijawahi kufafanua maana halisi ya hilo jina kwasababu in nature sio Jina zuri na wala Watu wengi humu hawalijui nini hasa maanayake na kwanini nalitumia! lakini hata nyinyi Chelsea munajionaje yani munapotuita majina mabaya kama Liverkuku halafu sisi tunawachora tu?

Lakini kwavile ni wewe mwenyewe ndiye umeanza kulieleza wacha na mimi nimalize.

SABABU YA CHELSEA KUITWA RENT BOYS.

- Kuanzia kipindi cha mwaka 1960 mpaka kufikia miaka ya mwisho wa 1980s Vijana wengi wa kiume kutoka maeneo mbalimbali ya Uingereza walikimbilia katika Jiji la Ndani hasahasa walivutiwa na Mji wa Chelsea ambapo walijazana wengi hapo Mjini Chelsea! Vijana hao wa Kiume kutokana na Ugumu wa Maisha wakaamua kujiingiza katika biashara ya Ukahaba wakawa wanajiuza kama Mashoga ili kupata hela za kujikimu na kulipo Kodi mbalimbali ndipo Wakapewa Jina la Rent Boys. Ndipo Kiongozi mmoja Mkubwa wa Chelsea akafumwa anamnyandua Kijana Mmoja wa Rent boy aliyevutiwa na hela za Kiongozi huyo! Kuanzia hapo ndiyo Chelsea kama Timu ikahusishwa moja kwa moja na Rent Boys.

Hebu sikiliza na kawimbo cha Rent Boys haka 👇

sababu ya liverpolol watu wanawaita ivo same to nyie mnatuita cheltako so i think rent boy ni baya zaidi kuliko liverkuku or cheltako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom