Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ratiba ndio hii.
YNWA
Hawezi kuwa alikuwa fan wa majogoo HUYU...Sio kwamba kaacha bali alikuwa hajui huyo kama Klopp na Pep walikutana msimu wa 2016/17.
Nina uhakika kipindi hicho alikuwa bado hajawa Plastic Fan wa Man City.
Either alikuwa Mshabiki wa Timu nyengine (Manure, Arsenal, Liverpool) au alikuwa hajaanza kupenda mpira alikuwa Sekondari anamwagilia Bustani.
Nadhani kwa JF mimi ndiye pekee ninayoongoza kuwaita Chelsea Fanboys kuwa ni RENT BOYS lakini sijawahi kufafanua maana halisi ya hilo jina kwasababu in nature sio Jina zuri na wala Watu wengi humu hawalijui nini hasa maanayake na kwanini nalitumia! lakini hata nyinyi Chelsea munajionaje yani munapotuita majina mabaya kama Liverkuku halafu sisi tunawachora tu?
Lakini kwavile ni wewe mwenyewe ndiye umeanza kulieleza wacha na mimi nimalize.
SABABU YA CHELSEA KUITWA RENT BOYS.
- Kuanzia kipindi cha mwaka 1960 mpaka kufikia miaka ya mwisho wa 1980s Vijana wengi wa kiume kutoka maeneo mbalimbali ya Uingereza walikimbilia katika Jiji la Ndani hasahasa walivutiwa na Mji wa Chelsea ambapo walijazana wengi hapo Mjini Chelsea! Vijana hao wa Kiume kutokana na Ugumu wa Maisha wakaamua kujiingiza katika biashara ya Ukahaba wakawa wanajiuza kama Mashoga ili kupata hela za kujikimu na kulipo Kodi mbalimbali ndipo Wakapewa Jina la Rent Boys. Ndipo Kiongozi mmoja Mkubwa wa Chelsea akafumwa anamnyandua Kijana Mmoja wa Rent boy aliyevutiwa na hela za Kiongozi huyo! Kuanzia hapo ndiyo Chelsea kama Timu ikahusishwa moja kwa moja na Rent Boys.
Kuanzia miaka ya 1990 jina hilo lilianza kupotea lakini baada ya kuja ABRAMOVIC Wachezaji wakubwa waliojiunga na Timu ya Chelsea ambayo haikuwa na Legacy wala History yoyote kwa kuzikataa Man United, Liverpool na Arsenal ndiyo Washabiki wa Timu hizo wakasema Mchezaji yoyote hawezi kwenda Chelsea kwa ukubwa wa Timu au mapenzi bali wanakwenda pale kwa kufuata pesa tu kama walivyokuwa Rent Boys! Hivyo Wachezaji wote waliojiunga Chelsea ya Abramovic kwa kufuata hela nao Wakaitwa Rent Boys.
Kuanzia hapo Wachezaji na Washabiki wa Chelsea wakarudishiwa jina lao la RENT BOYS (Vijana Makahaba wa kiume (mashoga) wanaojiuza kutafuta hela) mpaka hii leo.
Hebu sikiliza na kawimbo cha Rent Boys haka 👇kutoka Ndani ya Anfield.
Wazee hawaruhusiwi shabikia mpira?Mzee sijawahi kufuatilia kijitu kinachoitwa Liverpool aisee ,hili timu sijawahi kulisikia enzi zangu za kufuatilia mpira,labda man u ..lakin Mimi nimekulia kwenye mazingira na marafiki waliokuwa wanafuatilia man city na nikawa fans wa city Toka kipind hiko ... Liverpool ni team ya wazee kabisa Kwa inavoonekana ,
Chalianguu bado hujarudi kutoka UAE?Sikilizeni nyie takataka ..Muchague epl ama uefa, mukisema mukimbizane pote basi mumeumia..
Sisi hatuna khabari tena ..Tunatetea taji letu mchana kweupe..
#CFC💙💙💙