Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

No Caption 😎

IMG-20220318-WA0049.jpg
 
Huu ndio msimu sane aliwanyoosha pale etihadi na kupanda juu tukawazid point 1 ,baada ya hapo mlibaki mnakimbiza upepo na city tukanyanyua epl ......


Vip mtaweza kulipiza this time ...keeep watching

Mna mnyama Aguero
Mna mnyama Sane
Mna mnyama Kompany
Mna mnyama Silva Davido
Kwa sasa mna akina Grealish,utumbo mtupu!
Nakupiga Itihad
 
Mna mnyama Aguero
Mna mnyama Sane
Mna mnyama Kompany
Mna mnyama Silva Davido
Kwa sasa mna akina Grealish,utumbo mtupu!
Nakupiga Itihad
Nakumbuka hii game goli la kwanza alifunga aguero kwenye angle ngumu hatari Sana ....Liverpool walibaki wanamlaumu Lovrine
 
Kwani tumeshawapiga mara ngapi?

You speak as if we have played only one game against city

Ngoma Bado mbichi sana hii
Leta hapa twakwimu za epl klopp vs pep

2017/2018

Man city 5-0 Liverpool

Liverpool 3-2 man city

2018/2019

Man city 2-1liverpool

Liverpool 0-0 man city

2019/2020

Man city 1-1 Liverpool

Liverpool 3-1 man city

2020/2021

Man city 0-0 Liverpool

Liverpool 1-4 man city

2021/2022

Liverpool 2-2 man city

Man city ?- ? Liverpool (in process)

Keep watching
 
Sisi gari ishawaka ni kukimbiza tu
Tupo tayari sana.

Upepo wa majeruhi upite mbali.

Salah na TAA wana siku 14 kukaa sawa. Idara ya matibabu ifanye kazi yake vyema hawa ma dogo wawe wamepona.

Bila TAA naona pale atacheza Milner japo nae kwa sasa mgonjwa au Gomez.

Pale mbele sina shaka nako kwa Salah. Kuna Jota, Origi, Mane, Diaz 🔥, Taikumi, Chamberlain, Elliott, Firmino.

YNWA
 
Tupo tayari sana.

Upepo wa majeruhi upite mbali.

Salah na TAA wana siku 14 kukaa sawa. Idara ya matibabu ifanye kazi yake vyema hawa ma dogo wawe wamepona.

Bila TAA naona pale atacheza Milner japo nae kwa sasa mgonjwa au Gomez.

Pale mbele sina shaka nako kwa Salah. Kuna Jota, Origi, Mane, Diaz , Taikumi, Chamberlain, Elliott, Firmino.

YNWA
Dah huyu Trent kukosekana ni huzuni kwangu
Mungu amponye...
Dogo anazipatia sana kona yaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom