Dogo unaleta ucomedy kwenye mambo ya msingi?
Kwa Ufupi tu ni kwamba kumbe tunajibizana na Mtu ambaye hata historia ya juzi tu ya Timu yako huijui! Yani leo nimekuona ni bure kabisa na nimejihakikishia kuwa umejipachika Man City 2018 ndiyo maana hata hujui kuwa Pep na Klopp walikutana December 2016 Mancity ikafungwa 1 - 0 kwa goli la Utosi la Gini.
IN SUMMARY:
- Klopp kwenye EPL kamfunga PEP mara 3 tu.
- Pep kwenye EPL amfunga Klopp mara 3 tu.
- Wametoka sare mara 5 EPL
- Kwenye UCL Klopp kashinda zote mbili.
Fuatilia kwa makini Timu yako usiunge unge matokeo! Pep hajamzidi Klopp kwenye EPL wamefungana sawa mara 3 kila mmoja lakini Klopp kamfunga PEP mara 2 CL.
Hivyo kiujumla Klopp kambonda Pep mara 5 kwa zake 3.