Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli we jamaa nimeamini umeanza kushabikia city juzi tu sasa ulileta mambo ya head to head kati ya Klopp na kipara halafu unaacha msimu wa kwanza Kipara alipokuja EPL

Sio kwamba kaacha bali alikuwa hajui huyo kama Klopp na Pep walikutana msimu wa 2016/17.

Nina uhakika kipindi hicho alikuwa bado hajawa Plastic Fan wa Man City.

Either alikuwa Mshabiki wa Timu nyengine (Manure, Arsenal, Liverpool) au alikuwa hajaanza kupenda mpira alikuwa Sekondari anamwagilia Bustani.
 
Mzee sijawahi kufuatilia kijitu kinachoitwa Liverpool aisee ,hili timu sijawahi kulisikia enzi zangu za kufuatilia mpira,labda man u ..lakin Mimi nimekulia kwenye mazingira na marafiki waliokuwa wanafuatilia man city na nikawa fans wa city Toka kipind hiko ... Liverpool ni team ya wazee kabisa Kwa inavoonekana ,
 
Inawezekana hauna akili timamu au hauna utimamu wa akili unasema huwezi ifatilia Liverpool wakati unashinda humu daily hata kule jukwaa letu pendwa LA mikeka unaiaminiaga sana Liverpool... Hahhahahahha pole sana
 
Tunavoibetia ajax ,lisbon ,buyern ,young boys kwa hiyo tunazifuatilia
 
Tatizo sio kuzifatilia tu ila Liver huwa unaiaminia kabisa kua "lazima ishinde" it means unaifatilia kinyama
Game gani nasemaga Liverpool lazima ashinde ,hii timu zinaga mzika nayo kabisa Mimi ...Sina DNA na Liverpool kabisa mzee ,wazee wa miaka 80 ndio Wana DNA za Liverpool na siwashangai kwani ndio ilikuwa on fire kipindi hicho ..!
 
Mi nadhani hapa ndo Liverpool ilikua on fire zaidi na naamini ulishuhudia huu moto ambao utakuchoma tena mwezi ujao...
Screenshot_20220319-162931.jpg
 
Screenshot_20220317_162039_com.android.chrome_edit_174078440121874.jpg

Naona hapa Arsenal anaongoza Villa goli 1 ni dhahiri sasa upo uwezekano wale jamaa wa kule Trafford wakajikuta Uefa.

Pazuri pia Chelsea wajitazame wakiteleza Arsenal haoooo nafasi ya 3.

Nwa ligi bado sana lolote linaweza tokea.

YNWA
 
Screenshot_20220318_221647_com.android.chrome_edit_173701675857348.jpg

Haturungi wala hatuna maneno mengi.

Kila mmoja asimame na timu yake.

Tunaridhika na kazi ya vijana mwaka 2022 umekua safi kwetu.

Kilichobaki sasa ni pale kati wacheze powa sababu Defence na Forwards wako on 🔥 🔥 🔥.

Hizi stat hua hazidanganyi jamani. Anaebisha awake Optajoe.

YNWA
 
Hao walikutana na bahati tu ,tumegonga post zao mara kibao tu .....! Bahati iliwabeba ,kama epl inajirudia hata wao hawatamani kukutana na city
Hapo kweli ile mechi bahati haikuwepo mliwakosakosa sana kiasi Kipara akaona sio usiku wake kabisaaaa.... hata sie ile mechi ya Inter Milan duuh kosa kosa zilikua nyingi.

YNWA
 
Screenshot_20220318_221602_com.android.chrome_edit_173732138583385.jpg

Chances created wa kwanza EPL.

Assist created wa kwanza EPL.

Klosi kamilifu wa kwanza EPL.

Huyu dogo sio wa kawaida.

Ni so so so special no wonder maneno ni mengi sana sie tunaridhika anacholeta kwenye timu hayo mengine tuna wachezaji wa kazi hio.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom