Nkamu
Saint Anne
Ili uelewe kwa mtiririko mzuri, baada ya sisi kushinda hatua ya makundi ilichezeshwa droo ya timu 16 zilizotoka kwenye makundi hawa ni wale wilioshika nafasi ya 1 na 2 kwenye makundi. Hiyo ndio huwa droo ya 16 bora na sisi ndio tulipangiwa Inter Milan.
Katika hatua ya 16 bora wakishapatikana washindi inachezeshwa droo ya mwisho ambayo inaonyesha quarter final, semi final na final yenyewe, hiyo droo ndio hii iliyochezeshwa leo sasa.
Sisi ni quarter final 4 (QF4) tumepangiwa Benfica kwa maana hiyo tukishinda hatua hiyo semi final tutakuna na winner wa quarter final 3 (QF3) ambapo ni kati ya Villarreal au Bayern. Kwahiyo mtiririko unaenda hivyo hadi fainali.
Kama kuna sehemu sijagusia wadau wengine wataongezea.
YNWA