Mzee kutolewa sio shida ila lazima mtapata cha moto ....hio draw itokeee tu![]()

#UCL









Man city always wanapata vibonde, Atm hii siyo ile ya miaka kadhaa nyuma, ingetakiwa City vs bayernLiverpool kitonga![]()
Kwa maana hiyo tukivuka sisi QF4 tunaweza kutana na Bayern/Villareal
Wewe umepewa benefica kabisa unasema Nini TenaMan city always wanapata vibonde, Atm hii siyo ile ya miaka kadhaa nyuma, ingetakiwa City vs bayern





Aisee niombe RADHI MKUU..siwez shabikia vilaza...MIMI NI JOGOWO ALIYEVUMILIA UTITIRI KWA MIAKA 30Kwani sisi ndio mara ya kwanza kukutana na City? Alafu wewe ni shabiki wa City au Arsenal?
Nkamu wegman
City alibeba kwa pts 98 dhidi ya 97 ya Liver, msimu naona unajirudia tena
Kwamba city mnawaogopa Atletico?Liverpool kitonga![]()
Unatupangia hao real Madrid hawajawahi kutufunga mechi za mashindanoChelsea out
Kwa maana hiyo tukivuka sisi QF4 tunaweza kutana na Bayern/Villareal
YesKwa maana hiyo tukivuka sisi QF4 tunaweza kutana na Bayern/Villareal
Karibu Sana DARWIN NUNEZ ...ULISHUHUDIE VIBE LA ANFIELD...ikifika June ufanye maamuzi SAHIHI


