Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,467
- 14,619
Kigezo hapo ni kufuzu tuu kisha wanachezesha drawNkamu wegman
Captain Marvelous naomba mnielezee kuhusu hii draw.
Inafanyikaje fanyikaje na wanatumia vigezo vipi.
Kigezo hapo ni kufuzu tuu kisha wanachezesha drawNkamu wegman
Captain Marvelous naomba mnielezee kuhusu hii draw.
Inafanyikaje fanyikaje na wanatumia vigezo vipi.
Tukome na Nani? Bayern au villareal?Yes mkome
Bayern MunichTukome na Nani? Bayern au villareal?
Hiyo draw inachezeshwa kama mchezo wa bahati nasibu??Kigezo hapo ni kufuzu tuu kisha wanachezesha draw
Ndio anne wanachezesha kama bahati nasibu, wanachukua vimpira vidogo ambavyo vinakua na majina ya timu wanaviweka kwenye kibakuli kimoja kisha wanazungusha alafu mtu anaingiza mkono anatoa kimpira na kusoma jina la timuHiyo draw inachezeshwa kama mchezo wa bahati nasibu??
Kwamba timu inaweza angukia kucheza na timu yoyote?
AiseeNdio anne wanachezesha kama bahati nasibu, wanachukua vimpira vidogo ambavyo vinakua na majina ya timu wanaviweka kwenye kibakuli kimoja kisha wanazungusha alafu mtu anaingiza mkono anatoa kimpira na kusoma jina la timu

Sasa hivi timu yetu siyo ile ya miaka ya elfu mbili.Last time Liverpool to face Benfica was the season of 2005/2006
First leg
Benfica 1-0 Liverpool
Second leg
Liverpool 0-2 Benfica
Here we go again..welcome the Portuguese at anfield stadium the place of the miracle of European night
Nkamu Saint AnneNkamu wegman
Captain Marvelous naomba mnielezee kuhusu hii draw.
Inafanyikaje fanyikaje na wanatumia vigezo vipi.
Oh hapa nimeelewa.Nkamu Saint Anne
Ili uelewe kwa mtiririko mzuri, baada ya sisi kushinda hatua ya makundi ilichezeshwa droo ya timu 16 zilizotoka kwenye makundi hawa ni wale wilioshika nafasi ya 1 na 2 kwenye makundi. Hiyo ndio huwa droo ya 16 bora na sisi ndio tulipangiwa Inter Milan.
![]()
Katika hatua ya 16 bora wakishapatikana washindi inachezeshwa droo ya mwisho ambayo inaonyesha quarter final, semi final na final yenyewe, hiyo droo ndio hii iliyochezeshwa leo sasa.
![]()
Sisi ni quarter final 4 (QF4) tumepangiwa Benfica kwa maana hiyo tukishinda hatua hiyo semi final tutakuna na winner wa quarter final 3 (QF3) ambapo ni kati ya Villarreal au Bayern. Kwahiyo mtiririko unaenda hivyo hadi fainali.
Kama kuna sehemu sijagusia wadau wengine wataongezea.
YNWA
Sasa hivi timu yetu siyo ile ya miaka ya elfu mbili.
Tutawatandika watashangaa.





Kuanzia kwenye hatua ya Quarter Final,Semi Final na Final yenyewe timu inaweza angukia kucheza na timu yoyote YES. Ila katika hatua za mwanzo yani hatua ya makundi na 16 bora sheria ya UEFA inasema haitakiwi zikutane timu zinazotoka ligi moja.Hiyo draw inachezeshwa kama mchezo wa bahati nasibu??
Kwamba timu inaweza angukia kucheza na timu yoyote?
Eeeeh ni lazima apatikane mshindi hamna kutoa draw.Oh hapa nimeelewa.
Kwahiyo hizo mechi ni lazima apatikane mshindi??
Yaani hakuna kutoka draw??
Na mashabiki wengi wa sasa kama Anne hakuwepo enzi hizoSasa hivi timu yetu siyo ile ya miaka ya elfu mbili.
Tutawatandika watashangaa.