Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Jana Paul merson a.k.a former Arsenal man...alichukia sana.
Anadai bado liver anahali ngumu maana kwa game mlizobaki nazo liver...itawabidi mshinde kila game, lakini ukiangalia kwa game alizobakisha city kwa upande wake ngumu labda ni Liver ila kinacholeta hope mnaenda etihad...nyengine labda ni westham na wolves kwasababu anawafuata ugenini.
Ila nyie bado mpo na Rivals wenu yani UNITED ambaye yupo desperate na kutinga top4 na TOFFEES ambaye anataka kuavoid relegation...sawa wanaweza wasiwe kwenye form bora hivi sasa lakini adui wa jadi ni adui tu...msipokuwa makini apa yeyote anaweza akawakata points maana hizo mechi hawatakubali kirahisi pamoja na ubovu wao walionao, yasije wakuta yale ya 2018/2019 mkakimbiza ubingwa hadi mwisho kwa tofauti ya point.1 tu.
View attachment 2153686
City hatupo kwenye form mzee kama kipindi kile ,hapa ni either Liverpool mwenyewe ajichanganye tu ...! Japo fixture yetu inaonekana nyepesi lakin team yetu Bado haipo on fire ...!


yangu macho