Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wanyonge?!! unaijua chelsea vizuri mkuu.? juzi umetoutea kale kakombe cha uji ndio unajiona una timu ya maana hasa baada ya kumpiga kibonde arse8..!??! subiri tupangwe na nyoe tuwawashiye moto ninyi kuku..😀😀
Jamani aliyelileta hili lopolopo alirudishe lilipotoka

Linaleta hallluufu, hallluuufuu tu
 
wanyonge?!! unaijua chelsea vizuri mkuu.? juzi umetoutea kale kakombe cha uji ndio unajiona una timu ya maana hasa baada ya kumpiga kibonde arse8..!??! subiri tupangwe na nyoe tuwawashiye moto ninyi kuku..😀😀

ila wewe jamaa sijawahi kuelewa kabisa ,yaani inaonekana ni moja kati ya watu wajinga ambao hawajawahu kutokea duniani ....hovyo kabisa ,una maneno machafu Sana unafaa kupuuzwa ..maneno yako sio ya kishabiki kabisa
 
Ilikuwa makubaliano nkamu.
Wakasema kwamba tutaamshana..
Wakasema wataniamsha saa 8 baada ya mechi kuninyanyasa maana nimewanyanyasa sana man u jana mchana
Nikawaambia kwamba hiyo saa 8 ikifika nitawaamsha mwenyewe mje kushangilia ushindi ila hawakuniamini
Japo nkamu nina huruma sana,niliwaacha walale ili sasa leo tupate full time sasa ya kunyanyasana.
Kama ni nyumbu waliahidi kukunyanyasa ukifungwa basi hao halali yako na wewe kawanyanyase, nikajua ni fans wa Arsenane ndio maana nikawaombea huruma yako maana wao hawana kidomo domo kama nyumbu na rent boys.

YNWA
 
Kwa hali ilivyo...ile jana arsenal alitakiwa kuifanya kazi kubwa kuliko uwezo wake na hatimaye wameshindwa...SASA SISI CITY HII SHUGHULI TUTAIFANYA WENYEWE tareh 10-April...HATUTAKI TIMU NYENGINE KUJINASIBU ETI ZINAWEZA KUMTULIZA LIVER!...Narudia tena shughuli za wanaume zitafanywa na wanaume wenyewe nasio wavulana.
 
Yaani Aseno sina tatizo nao kabisa.
Hii mechi wapambe walikuwa ni man u
Sasa man u wananitishia kuninyanyasa kweli kupitia mechi na Aseno
Hii nchi uhuru umezidi Sana..tunahitaji katiba
 
Subiri tuje kuwanyoosha.

Na sisi Kwa level tuliyofikia;hatutaki kucheza tena na wanyonge.

Tunamtaka kipara tumnyooshe.
 
Adjustments.jpg
 
ila wewe jamaa sijawahi kuelewa kabisa ,yaani inaonekana ni moja kati ya watu wajinga ambao hawajawahu kutokea duniani ....hovyo kabisa ,una maneno machafu Sana unafaa kupuuzwa ..maneno yako sio ya kishabiki kabisa
Mimi kabla sijamsoma sana nilimchukulia hivyo,ila nilipokuja kumzoea nikagundua ni mtu mmoja wa mizaha sana
Na nikimsoma nacheeeka
Kuna muda nisipomuona namiss uwepo wake kwa kweli.

Kuna namna anachekesha jamaa.
 
Subiri tuje kuwanyoosha.

Na sisi Kwa level tuliyofikia;hatutaki kucheza tena na wanyonge.

Tunamtaka kipara tumnyooshe.
Kwa ushindi huu wa jana skysports wanasema title charge is TRULY ON FOR COPS!!!
Screenshot_20220317-091655.jpg

Naam!...ata mie nakubali kwamba the RACE HAS OFFICIALLY BEGAN...now lets see who will finish first across the winner line.
Screenshot_20220317-091413.jpg
 
Yaani Aseno sina tatizo nao kabisa.
Hii mechi wapambe walikuwa ni man u
Sasa man u wananitishia kuninyanyasa kweli kupitia mechi na Aseno
Hii nchi uhuru umezidi Sana..tunahitaji katiba
Jana Paul merson a.k.a former Arsenal man...alichukia sana.
Anadai bado liver anahali ngumu maana kwa game mlizobaki nazo liver...itawabidi mshinde kila game, lakini ukiangalia kwa game alizobakisha city kwa upande wake ngumu labda ni Liver ila kinacholeta hope mnaenda etihad...nyengine labda ni westham na wolves kwasababu anawafuata ugenini.

Ila nyie bado mpo na Rivals wenu yani UNITED ambaye yupo desperate na kutinga top4 na TOFFEES ambaye anataka kuavoid relegation...sawa wanaweza wasiwe kwenye form bora hivi sasa lakini adui wa jadi ni adui tu...msipokuwa makini apa yeyote anaweza akawakata points maana hizo mechi hawatakubali kirahisi pamoja na ubovu wao walionao, yasije wakuta yale ya 2018/2019 mkakimbiza ubingwa hadi mwisho kwa tofauti ya point.1 tu.

Screenshot_20220317-091903.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom