nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 498
- 383
Ilikua boys vs men...
Peaky Blinders hahaha.
Kudadeq Kuna wanga walisema hatushindi [emoji1787]
Hahahaha we mean business.Kudadeq Kuna wanga walisema hatushindi [emoji1787]
Kuna maboya ngoja niwaamsheHahahaha we mean business.
Bring em.
We ready to tango.
Who is next [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
YNWA
Tukumbushane tu ni kwamba kuna kipindi Manchester City alituacha pointi 14 na sasa ni pointi 1 moja na tupo gemu sawa.
Kuna mtu mwenye swali jamani? Kuhusu hii gemu ya Liverpool vs Arsenal.
Ushindi ugenini 2 na clean sheet murwa kabisa.
Arsenal kabla ya hii gemu walikua wameshinda gemu 5 mfululizo hivyo sio kwamba n dhaifu mbali hawajawa finished article. Mikel anafanya kazi powa kabisa.
YNWA
Ha ha ha ha ha!!!Peaky Blinders hahaha.
The Red Brigade.
Boy we are enjoying this.
YNWA