Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,080
- 16,052
Sasa nani kakuambia kama kwa kuwa mmekusanya points nyingi, hamjafungwa tangu 2022, mmeshinda magoli 73 na kama hamna majeruhi ndio iwe sababu ya KUTOFUNGWA?Huo urahisi au ugumu baki nao wewe,sisi tunataka point 3 tu .
Mechi ya kwanza ulifungwa nne na Liverpool mechi ya pili uje umfunge kweli? Liverpool kuanzia mwaka 2022 ndio timu bora hapo epl yaani ndio nimekusanya point nyingi kushinda timu yote hapo Epl kwa kifupi Liverpool gari limeshawaka Saizi.
Mechi ijayo mtakutana na Liverpool iliyokuwa na wachezaji wote hakuna majeruhi hata mmoja,ubavu wa kumvimbia Liverpool huna kwa sasa ilikuwaga zamani.
Sasa hivi Liverpool anakufunga anavyotaka huna timu wewe.pigeni kelele tu utakubali hunatimu ya kushindana Liverpool .
Last time mlisema mtakuja kutufunga nyumbani kwenu,kilichotokea mkaona aibu.liverpool hii iko moto mkuu mpaka sasa imefunga magoli 73,wewe umefunga magoli mangapi kwenye ligi?
Liverpool mashindano yote mpaka sasa kafungwa mechi tatu na westham,leicester Na inter milan, wewe mpaka sasa mashindano yote umefungwa mechi ngapi? Auna timu ya kupiga kelele kwamba utamfunga Liverpool.
Hao westham na leicester tayari tumeshalipa kisasi yaani tumeshawakalisha na wao walikuwa wagumu na kelele nyingi.
Ukiona Liverpool kafungwa ujue kuna wachezaji hawapo sasa nyinyi Arsenal mnaenda kukutana na Liverpool iliyona wachezaji wake wote yaani Klopp anajichagulia tu acheze nani.
Mpaka saizi kwenye round ya pili hakuna aliyechukua point kwa Liverpool nyinyi Arsenal ndio mnataka mjaribu?
Unless you're not a football fan.
Nikuambie basi mpira hauko hivyo. Mark my words.


, Arsenal au Tottenham. Hili sakata ndio kwanza asubuhi.