Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Hujui unachosema, watu tunaongelea man management we unaleta ushabiki maandazi hapa.Wewe ndio msemaji wa salah?
Klopp anapenda wachezaji wake wote na wote wanajua wewe msemaji wa salah kaa kimya
Hujui unachosema, watu tunaongelea man management we unaleta ushabiki maandazi hapa.Wewe ndio msemaji wa salah?
Klopp anapenda wachezaji wake wote na wote wanajua wewe msemaji wa salah kaa kimya
Hiyo ni Show ya Luis diaz, mtu sana huyu he is the next big thing.Scored
Hiyo ni Show ya Luis diaz, mtu sana huyu he is the next big thing.
Lallana bhana! Yaleyale ya Liverpool bado anaendelea nayo, kuingia tu uwanjani anaumia tena bila ya sababu
ninyi baadhi ya mashabiki wa liver muna furahia anguko letu lakini kwamba sisi tutakiwa na ngugu zaidi ya MwanzoDogo
Haya hatuyataki
You better return kile msibani kwenu mkapeane pole
Please