Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Natarajia kuona Chelsea wakienda mahakamani kuomba clarification ya hili swala. Eti wamepewa Chelsea leseni ya muda yaaani hawa Waingereza hua wakati mwingine ni pasua kichwa sana. Ila ukiona wamewashukia hivi mazima itakua kuna sababu za kiintejelisia wamezipata kuhusu Roman na Putin maana huu mpango umekuja chap sana sio kawaida.Captain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.
#chelsea4ever
ππππππππππHumuoni OllaChuga OcKosi la duniaView attachment 2145557
Na bado dogo hajapata bahati ya kupata gemu time ya kutosha.Taki must have the best goal per minute ratio
Ama ndugu zangu tufungue dirisha la usajili kwa mashabiki wa Chelsea wanaotaka kujiunga majogoo?Mnangβangβania nini huko njooni Liverpool huku.
Njia pekee ni roman kukubal tim iuzwe na uk gvt, n tukiuzwa na serikal ya uk, tutaangukia kwenye mikono ya yankee or watoto wa malkia wenyewe.Natarajia kuona Chelsea wakienda mahakamani kuomba clarification ya hili swala. Eti wamepewa Chelsea leseni ya muda yaaani hawa Waingereza hua wakati mwingine ni pasua kichwa sana. Ila ukiona wamewashukia hivi mazima itakua kuna sababu za kiintejelisia wamezipata kuhusu Roman na Putin maana huu mpango umekuja chap sana sio kawaida.
Binafsi kwa sababu ya ushindani wa EPL sio ombi langu mpotezwa kabisa. Japo huu ni upepo naamini mtakaa sawa.
YNWA
Ama ndugu zangu tufungue dirisha la usajili kwa mashabiki wa Chelsea wanaotaka kujiunga majogoo?
YNWA
Mkuu bado matokeo ya zile nomination. Klopp kocha bora wa mwezi, goli bora LA Mane na Mchezaji bora Matip?Kabisa mkuu,maana mwisho wao umefika
Mkuu bado matokeo ya zile nomination. Klopp kocha bora wa mwezi, goli bora LA Mane na Mchezaji bora Matip?
Kesho wana kikao cha pamoja kujadili namna ya kusonga mbele.Njia pekee ni roman kukubal tim iuzwe na uk gvt, n tukiuzwa na serikal ya uk, tutaangukia kwenye mikono ya yankee or watoto wa malkia wenyewe.
Mahakaman sio gurantee n sio case ya siku moja.
Kwa hio wa activate kipengele mkataba wake uishe 2023 June.Divock Origi kupata magoli huwa hategemei Counter attack licha ya pace aliyonayo
Origi anakufunga akipata mpira ndani ya 18 na anakipaji cha kupiga mashuti fulani hivi ya tofauti
Klopp kakosa kumuamini tu jamaa ila game kadhaa zilizopita Jota na wenzake wametuyeyusha sana licha ya kupata ushindi
Wanatia huruma hawakutegemea mambo yatakwenda kwa hii kasi ya 5G.Kabisa mkuu,maana mwisho wao umefika
Mganda awe mtulivu anaweza kuipata kwa bei ya madafu πππππMganda anawataka
Khaaa Norwich ipi ambao wana uhakika hata wakishuka biashara kwao inaedelea.Hii kuuza ni kuwafool.... Kama unadhani tukiuzwa tutakuwa kama Norwich nakushauri usipoteze muda wako.
Asante mkuuNatarajia kuona Chelsea wakienda mahakamani kuomba clarification ya hili swala. Eti wamepewa Chelsea leseni ya muda yaaani hawa Waingereza hua wakati mwingine ni pasua kichwa sana. Ila ukiona wamewashukia hivi mazima itakua kuna sababu za kiintejelisia wamezipata kuhusu Roman na Putin maana huu mpango umekuja chap sana sio kawaida.
Binafsi kwa sababu ya ushindani wa EPL sio ombi langu mpotezwa kabisa. Japo huu ni upepo naamini mtakaa sawa.
YNWA
Uzuri sheria zipo Chelsea ina fall category ya mambo ya Cultural Affairs ambazo zinagusa maisha ya wengi na ya kijamii so utulivu ili kuwe na continuety Chelsea lazima kuwe na mpango na serikali inatoa ushirikiano kusiwe na kukwama muweze kumaliza ratiba ya ligi.Asante mkuu
Roman ndie kashikilia mpira hapa , either akubal tim iuzwe na gvt, huku asipate chochote au akatae.Kesho wana kikao cha pamoja kujadili namna ya kusonga mbele.
Njia pekee ni Uongozi wa Chelsea watoe mpango kwamba Roman hatafaidika na uuzaji wa Chelsea kwa namna yote ile. Mkiweza kudhibitisha hivyo basi mtapewa leseni ya kuuza timu yenu.
Jokes aside ni mstuko mkubwa kwa wapenda mpira wote.
YNWA