Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Huyu mtoto hatari. Kagusa mpira mara 123 hakuna mchezaji mwingine aliefikia 100 touches. Kounate 98 na Robbo 98 ndio waliomkaribia.
Hawa madogo Trent na Robertson sijui hua wanakula nini aisee maana utawaona mbele kushambulia lakini pindi tukishambuliwa utawaona tena wanakimbia nyuma kulinda yaaani leo Trent kaokoa goli na Robertson kaokoa nafasi ya kufungwo kwa kumtuliza Antonio ndio Keita akapata nafasi kuweka block.

YNWA
 
Hatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na Manchester united hatutaki ubingwa wa masimango kwetu, Tutapambana wenyewe na bahati nzuri bado tuna mechi na City.


Kesho Manchester united APIGWE ZA KUTOSHA.
Wee maskini jeuri, hamuwezi kuchukua ubingwa City asipoteleza
 
kwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.

#CFC
Anzia alipoanzia fsg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom