Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
misimu mitano ya klopp ndio amebeba makombe hayo wakati Tuchel amebeba ndani ya msimu mmoja tu tena katikati ya msimu.
#CFC💙💙💙
Roman ametumia zaidi ya usd 1.5 billion hapo Chelsea tangu 2003 ajabu ana Champions League 2 tu katika kipindi hicho pamoja na makocha na wachezaji bora aliosajili.

Fundisho ni kwamba Klopp sio levo ya kawaida pamoja na hawa wachezaji wa kuungaunga amefanya makubwa na mwenyewe alisema vyema apewe muda na muda ukaleta makombe tumeridhika kabisa.

Huyo Tuchel Kombe English Premier League anakupeni lini? Mlianza kwa bwebwe wakati msimu unaanza sasa hata nafasi ya 3 hamna uhakika nayo tena.

Mfananishe Klopp na huyo tall wenu Thomas siku akiwaletea EPL hapo darajani.

YNWA
 
kwani ligi imeisha? lolote linaweza kutokea tu.

Juzi umekoswa koswa na inter milan ..muda utazungumza

#CFC💙💙💙
Kwenye mpira alievuka kwenda hatua ya pili ndio mshindi hayo sijui tumekoswakoswa hayana maana yashapita, mpambane sasa tukutane nusu au robo au faino.

Tumeshakumalizeni Carabao hilo halifutiki mpaka Carabao mpya msimu ujao. Mkae mtulieeeeee tuliiiii.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom