Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kabisa ndugu aafu hivi ile njano ya kwanza ya Sanchez ni red maana nilijua Thiago ndio basi tena, yule Sanchez jana alikua wa kutoka tu hakuna namna.We didn't play well today we were lucky when Sanchez got red la sihivyo mambo yangekuwa magumu zaidi
Salute kwa Inzaghi aliwaada vyema wachezaji wake.
YNWA

