Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dogo Curtis hii mechi asituangushe tu maana anasifika kwa maamuzi mabovu kimtindo

Akikaba kwa bidii na kuachia mipira kwa wakati itakaa vizuri
Huyu dogo hua humuamini kabisa.

Klopp taratibu anawakaribisha big boys league. Uliona na Elliott was given a piece of the cake apate hizo feeling that comea during UCL matches.

They are being initiated from boys to men 😂😂😂.

YNWA
 
Kama ulivyotabiri huyu dogo na takumi wanakuwaga na delay kwenye maamuz wanaifanya timu nzima inapwaya
 
Huyu dogo hua humuamini kabisa.

Klopp taratibu anawakaribisha big boys league. Uliona na Elliott was given a piece of the cake apate hizo feeling that comea during UCL matches.

They are being initiated from boys to men 😂😂😂.

YNWA

Anakaa na mipira bila hesabu nzuri dogo halafu kutembea na mipira bila malengo aaah anazinguaga sana
 
I said something about us losing a few days ago

We are too casual and we look tired and careless

This is Not a good sign
Dah! Kweli aisee kwa performance hii sioni tukichukua ubingwa. Anyway acha tuendelee kujipa matumaini.
 
I said something about us losing a few days ago

We are too casual and we look tired and careless

This is Not a good sign
After Carabao we aren't kicking the right gears man.

This loss today is a wake up call.

Kwa sasa Klopp number one player on the team should be Diaz hawa wengine pale mbele sijui hawa wengine wanawaza mikataba ama ni vipi we are being so predictable..

Ama January blues ndio zimehamia March 🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿....

Liverpool should sort Salah and mane situation sooner rather try an later

Gini Situation affected the team last season - we don’t want another drama
 
The drama already is here.

Jota baada ya kupona pumzi imekata kabisa.

Salah na Mane hakuna taarifa yoyote ya mikataba yao. Tetesi ni kwamba Mane ofa kambi yake hawajaikumbali hivyo FSG wanatazama kama vipi wa cash mapema Juni 2022.

Diaz hua ni amsha amsha hawa wengine leo mhmhmh japo pia we ain't lucky enough nafasi za Salah zile goli..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom