Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Wamesha kolapse hawa wasubiri tu msimu uishe afu champions league wanatolewa

One voice
We are Liverpool

Biashara yao imeisha kwenye soka hao.hawana huwezo tena.

Msimu ujao pia watakuwa hivi hivi. Sasa hivi wamebakiza kelele tu sasa hivi.

Kila kocha akija eti hajui? Timu ndio imekolapse sio kocha.
 
Biashara yao imeisha kwenye soka hao.hawana huwezo tena.

Msimu ujao pia watakuwa hivi hivi. Sasa hivi wamebakiza kelele tu sasa hivi.

Kila kocha akija eti hajui? Timu ndio imekolapse sio kocha.
By the way upande wa merchandise hauja collapse bado wapo vizuri sana.

YNWA
 
Saizi akioneshwa maneno yake hayo anaona aibu.
Hahaha waliishi ndotoni muda mrefu sana wakidhani kurudi kileleni kuna short cut sasa mpaka former players wameafiki lazima wajipe muda sio haya yanayoedelea sasa, wameshauriwe wafumue kikosi Juni akina Cavani, Bailey, Mata, Lingard nk wasepe kwa vile mikataba inaisha na wengine wauzwe hata kwa bei chee.

Hakuna foundation aliacha yule babu zaidi ya kuwavuruga kama consultant maana tetesi ni kwamba hawa walimu yeye hua consulted na pia usajili wa Ronaldo alitie neno. Ki ukweli nilikua nasubiri maajabu kwa CR7 maana mkuu Ladder 49 unafahamu hii ligi ilivyo ngumu kama jiwe aafu babu CR7 kweli ndie awe chachu ya ku challenge Manchester City duuh hii ilikua bonge la kamari na huo mshahara sasa. Ki ukweli kuna baadhi ya mambo FSG wanafanya hua nawakumbali kwa mfano capping ya usajili kwa wachezaji wao wanaamini zaidi kwamba mchezaji kwao ni baishara hivyo wananunua akiwa na umri wa wastani 20yrs to 28yrs ili awe na resale value baadae endapo akiamua kusesa design kama Coutinho vile.

Kazi wanayo jamaa zetu. Kwa staili ile big 4 wataisoma kwa magazeti.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom